The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
Samia sio yule wa viwanda vya cherehani wewe Babu..Wacha kulili vya wanaume we mtoto, ili nimuheshim na kumwamini akamilishe huo mradi LNG na hio project ya viwanda 200 pwani...kwa level yake atakuwa amefanya vyakutosha
Naheshim kuwa 1 ndio kiongozi sasa ni vyema amalizie kazi hizi nzuri, ila ww wakulilia vilivyo na wenyew ndio unanishtua mnoooHakuna mradi mpya
Ring Road![]()





Toka 2018 hadi 2021 haukuwa mda wa kutosha kumaliza?Angefanyaje na hayupo? Kama angekuwepo angetafuta kama alivyoanzisha maana hata hao wakandarasi hawakuanza kwa mali kauri walilipwa.
Hizi nimezikubali hakuna cha make up wala nini lakini zinawaka.Kwa Mseven![]()
Hueleweki,kula ndizi afu urudi kuandika upya 👇Naheshim kuwa 1 ndio kiongozi sasa ni vyema amalizie kazi hizi nzuri, ila ww wakulilia vilivyo na wenyew ndio unanishtua mnooo![]()
Wala sio mbele...Can anyone bring me an estate in dar that can match this in quality standards? Especially Since ..."Dar real estate is bigger than Nairobi's"View attachment 2242571



Okay! Mama kaanzisha mradi gani mkubwa ambao umeisha, au utaisha ndani ya mwaka 1,mto msimbazi na daraja la Jangwani litaisha lini, barabara ya Chalinze Segera inaisha lini, double road dodom to Arusha inaisha lini? Barabara ya Morogoro to dom to Singida double road inaisha lini?Toka 2018 hadi 2021 haukuwa mda wa kutosha kumaliza?
Hakua na pesa mbona mnajizungusha zungusha?
Magu aliupiga mwingi kwenye sehemu zake na mama nae anaupiga mwingi kwenye part yake,ila habari kama hizi lina jukwaa lake kule siasani,mnakera sana kuja na mada kama hizi kwenye hili jukwaa ambalo alihusiani na siasaHospital zenyewe hasikuisha,hazikuwa na vifaa wala wataalamu ,mama amemalizia,ameweka vifaa tiba na ajira juu..
Kama Kawaida ya Mwendazake huwa anaanzisha na hamalizii ikiwemo Chato Referral kaimalizia mama ..CAG ameeleza miradi kibao ambayo ilikamilika ila haitumiki kwa kukosa wataalamu,umeme na vifaa tiba mama kafanya vyote hivyo .👇
Aanzishe mwaka mmja na kumaliza mwaka mmja? Unachekesha sasa..Okay! Mama kaanzisha mradi gani mkubwa ambao umeisha, au utaisha ndani ya mwaka 1,mto msimbazi na daraja la Jangwani litaisha lini, barabara ya Chalinze Segera inaisha lini, double road dodom to Arusha inaisha lini? Barabara ya Morogoro to dom to Singida double road inaisha lini?
Hii ndio miradi mipya ambayo tuliambiwa itafanyika.
Umeona sasa,kwahiyo akiazisha 2024 isipoish ikatokea akaja Rais mwingine(hapa natolea mfano tu) utamlaumu mama kwamba alianzisha miradi haikuisha ??Aanzishe mwaka mmja na kumaliza mwaka mmja? Unachekesha sasa..
Halipo kwenye mpango,tuko busy na kukamilisha miradi inayoendelea na kuendeleza mingine hususani ya barabara![]()
Muda si mrefu nafunga hii chapter mkuu. Saa nyingine kumbe ni bora kunyamaza.Magu aliupiga mwingi kwenye sehemu zake na mama nae anaupiga mwingi kwenye part yake,ila habari kama hizi lina jukwaa lake kule siasani,mnakera sana kuja na mada kama hizi kwenye hili jukwaa ambalo alihusiani na siasa
Sifa kwa Rais ajaye ambae atatoa pesa na kukamilisha..Umeona sasa,kwahiyo akiazisha 2024 isipoish ikatokea akaja Rais mwingine(hapa natolea mfano tu) utamlaumu mama kwamba alianzisha miradi haikuisha ??
Sukuma gang ongezeni block..
Naendelea kuwakera na Kazi nzuri ya SSH👇
Oya The Sunk Cost Fallacy usiharibu huu uzi tafadhali. Punguza ushabiki basi. Umepagawa. Sio vizuri mtu kuwa fanatic namna hiyo. Ni sawa kusupport mama lakini sio kwa njia unayotumia wewe. Mama ana mazuri na mapungufu yake kama vile tu Magu alikuwa na mazuri na mapungufu yake.😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬
Zile habari Sukuma gang mkiziona mnatumia Sana,huku ndiko SSH anapata mapato sasa.
Coal shipment to Europe imeanza 👇
Kiherehere ...stupidOya The Sunk Cost Fallacy usiharibu huu uzi tafadhali. Punguza ushabiki basi. Umepagawa. Sio vizuri mtu kuwa fanatic namna hiyo. Ni sawa kusupport mama lakini sio kwa njia unayotumia wewe. Mama ana mazuri na mapungufu yake kama vile tu Magu alikuwa na mazuri na mapungufu yake.
Safi sana NDINDA wewe ni balozi mzuri sn wa jiji letu na nchi kwa ujumla.Pia tuna thread ya jiji letu tamu Nairaland, mje mchangie mapicha