Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Worlds most Famous Bracelet. The Kenyan flag bracelet. 😀 Hii imetambulika dunia mzima.

Image

Image

Image

Image
Image
Image

Image

Image
Image

Image

Image

Image
Image
Image

Image

Image
Image

Image

Image
Image
IMG_20220529_011937.jpg
 
Kuna watu huwa wanajidai kuwa ndio wana the biggest estate in subsahara afrika ,hii ya Angola sasa wataitaje ina accomodate almost 500k people it is more of a city than an estate , ila wachina wamewekeza afrika jamani tuache utani

Ku urgue na fool ni kujichosha,uko experienced kwenye upumbavu 👇
There had never been an argument between you and I, NEVER.

If you ever took any of my aide-memoire of your STUPIDITY as an argument then, you are unbelievably STUPID.

Show me a post or two where two of us were engaged in an argument.

It's pretty sad that you are so STUPID to an amazing point, drawing a simple distinction between "argument" and "engagement" is a mountain to climb.

You are very STUPID!
 
Naona simu yako inapiga screenshot badala ya camera.
jili ya kuzoom bracelet kwa karibu ndo manaake dogo. ama niandike jina lako?..

nb: lakini pia mi uscreenshot photos zangu karibu zote humu, to reduce mb size for convenience.... coz imagin this new Samsung A52 can take a single photo for 24MB.!!. thts crazy meeen.. and again when it comes to video, a recording thts less than one minute can take upto 120MB!! thts again absurd.!
these are thngs i realy find it nagging me alot bout this gadget here

ile ingine mzuri (samsung bado) hio ilipotea kwa changáa kitambo nikiwa bado kamlevi😆. pombe walai ilinifanyia madhara...😆
 
Kenyan army like most of Arab World's armies which are specifically designed to control a population within their confines. Such armies, full of toy soldiers, some are extremely photogenic but with Zero history of winning wars.

As we all remember just how four members of Kobaz-Soldiers terribly delt with them in Wastage Mall.

If they can't secure a Mall or a School under attack, how can they ever defend a country against the aggression of major armies with an incredible history of accomplishment such as JWTZ?

Dear Tanzanians,

Don't waste your time and energy engaging them in this subject - we are not their mate.
 
wewe dogokundu, heb ona kenya fighter jet... wapi yenu kaa hii

Screenshot_20220528-204459_Chrome.jpg
 
Vita ya urusi na ukraini ni neema kwetu , meli iyo ya kampuni ya uswizi

Alafu kuna mtu anasema Magufuli ka accomplish nin

Globolist walifikiri uchumi wa Urusi unaweza kurubuniwa kwa kubadilisha vinamba namba kama wanavyofanya market makers kwenye stock market. Kumbe ni uchumi wao unaundwa na bidhaa halisi zinazohitajika ili watu waweze kuishi. Hii vita ilitakiwa kututoa wabongo, chakula kitapanda bei sana, sema ndiyo hivyo.
 
Kenyan army like most of Arab World's armies which are specifically designed to control a population within their confines. Such armies, full of toy soldiers, some are extremely photogenic but with Zero history of winning wars.

As we all remember just how four members of Kobaz-Soldiers terribly delt with them in Wastage Mall.

If they can't secure a Mall or a School under attack, how can they ever defend a country against the aggression of major armies with an incredible history of accomplishment such as JWTZ?

Dear Tanzanians,

Don't waste your time and energy engaging them in this subject - we are not their mate.
There has been two major wars fought between countries in the Eastern African region in the last 60 years. Incidentally, in these two wars all the participants were Kenyan neighbours. There is the Uganda-Tanzania war and the Somalia-Ethiopia war. All these four countries are neighbours of Kenya. Sasa swali langu ni kwa nini yule nduli mla nyama ya binadamu Iddi Amin wa Uganda alivamia Tanzania na kujaribu kuiba ardhi yenu badala ya kuvamia Kenya? Kumbuka Iddi Amin aliamini kwamba Naivasha inastahili kuwa chini ya Uganda.
Kwa nini Somalia ilivamia Ethiopia na kujaribu kuiba ardhi ya Ethiopia badala ya kuvamia Kenya? Kumbuka Somalia inaamini kwamba Ardhi ya Kenya (NFD) na Ethiopia (Ogaden region) ambayo Wasomali wanaishi inastahili kuwa chini ya nchi ya Somalia, lakini kwa nini waliattack Ethiopia na sio Kenya? Wewe unadhani sababu za Uganda na Somalia kutoivamia Kenya ni gani?
 
Mtu mwenye akili timamu hawezi kuulizwa hili swali "Kwanini Amin alivamia Tanzania na sio Kenya".

Kwanza Jiulize, kwanini vyama vyote vya ukombozi wa Afrika vilitumia Tanzania Kama makao makuu ya kuendeshwa shughuli zao za ukombozi?.

Wapinzani wote wa Did Amin, kuanzia Obote, Tito Okelo, Museven na wanajeshi wao, kwanini walikimbilia na kuishi Tanzania na sio Kenya

Kabila, John Garang wa South Sudan, Rene wa Sychelles kwanini walikuja Tanzania na sio Kenya, ulijibu haya maswali, ndio utakua kwamba Kenya sio sehemu ya Afrika ndio sababu haikujishughulisha kabisa na Mambo ya Afrika, ndio sababu haikushambuliwa na nchi yoyote ya Afrika

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom