Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,626
- 7,180
Ndo nashangaa mm sijui wanatoa wapi ujasiri wakusema jpm alikua muongo wakati raisi wao ndo baba wa uongoWakunya akili hawana
Eti Magu alikua muongo
Uhuru aliwadanganya kuwajengea reli ya umeme, laptops kwa kila mwanafunzi, international stadium kila County, kuondoa vifo vya njaa, na uongo Mwingine mwingi ila akili za kuzinduka hawana sababu wapo kwenye ganzi ya ukabila, as long as ni wa kabila lake hata amwambie ale uchafu wake atakula 🙄


