Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawa wakulungwa wakisikia jina mbagala wanafikiri ni mchezomchezo ila nishawajua wana kasumba na majina ya kizungu sana. Have you noticed slums zao zote majina ni ya kikunya ila posh areas utasikia majina ya mkoloni.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Huyo dada hajielewi na hata yy mwenyewe muda mwingine uwa anasema hata hajielewi elewi,ile kauli ya kudai sisi ni malazy aliisema akiwa TZ ndani ya wiki tu akawa kishajua sisi ni malazy while TZ kuna wamarekani wenzake wana miaka wanaishi bila kuongea upumbavu kama ule,binafsi nilijua tu kuna wakenya walishamuaminisha hivyo kabla ya kuja TZ,sasa hivi kule alikohamia ndio ataijua kenya vizuri maana ukiondoa leo hii kwenda kununua nyama kwenye butcher zinazotumia kigogo na axe kukatia nyama juzi kati niliona analalamika kuibiwa simu,kazi anayo yule mdada
 
Flooding? That's so shallow of youπŸ˜‚ This happens even in Western cities. I can show you hundreds of photos but there's no point. Anyway, vipi kuhusu hizi dreamhouses ambazo hazipumui ndani ya maji Dar?
 
Fuatilia thread bongolala. Usiwe unaamka usiku wa manane na maganda machoni ukaanza kuandika povu pasi na uelewa wa kinachoendelea
 
Nisiwe muongo kweli naishi tz tunaambiwa per capita ni $1260 ilaaaa hawa mafala wanateseka balaaa...sijawahi kuishi kwenye takataka kama hizi
Picha ya Kibera inakufanya ufikirie Tanzania is better?? What the fvck! πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ what's the difference between these two photos if I may ask?
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… i didn't knw SimpleBoy is a good rapper.. SimpleBoy performing in front of the president, high profile delegates, diplomats, distinguished guests, etc.. At the previous Jamhuri/Independence Day celebration 12thDec2021

 
ntashukuru zaidi uki comment pia kuhusu hapa alexandra, afrika kusiniView attachment 2240071View attachment 2240069
The gape between poor people and rich people in Kenya and South Africa are extremely wide and the same due to the economical inequalities and unparalleled distribution of resources and opportunities , quite different from Tanzania's status!

 
Westlands, Karen, Lovington, πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… though both areas never miss slums even by smell πŸ˜†
 
Zote hizo ni sehemu moja tena hakuna slums hapo

Nairobi yote ni slums na huwezi kuziondoa kwa kubisha huku jf πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Eti hii ni slums!


 
Heeeheee

Umenifurahisha Sana maana hiyo ni Tanzania unayoisema. Top CEO jobs in Tanzania ni Wahindi, Waarabu, Wazungu na Wakenya tupu.🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…