ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,427
- 164,059
what ever but nijibu sasa tumefikaje mpaka kua nchi ya 6 kwa umaskini duniani nchi ambayo imejaaliwa kila kitu kwenye uso wa dunia
what ever but nijibu sasa tumefikaje mpaka kua nchi ya 6 kwa umaskini duniani nchi ambayo imejaaliwa kila kitu kwenye uso wa dunia
Hii ndo source yako, kama unajua kusoma soma. 😂😂😂what ever but nijibu sasa tumefikaje mpaka kua nchi ya 6 kwa umaskini duniani nchi ambayo imejaaliwa kila kitu kwenye uso wa dunia
Uwezo mdogo wa kufikiri ni tatizo hapa.rudia swali niliokuuliza 2015 to 2021 tuliwezaje kupunguza matumizi ya import ya sugar na kutoka 2021 mpaka 2026 ikawaje tukashindwa kudhibiti importation ya sukari
very simple questions au 2015 to 2021 tuliogozwa na malaika na sio binaadamu naomba majibu plz
Lakini neno "CHAWA" lenyewe liliibuka awamu iliyopita, Siasa za nguvu na kukaba upinzani wote tunajua zilianza kipind gani. Chukia mchezo, usichukie mchezaji.atleast kuna mambo sikuyajua, sikuwah kujua kua marcopolo zote nchini zinatoka AVA kenya badala yake nilijua zinatoka south africa, tanzania leo nchi ya 6 kwa umaskini duniani tumefikaje hapo mm sijui waulize machawa majibu wanayo kuna mambo mengi sana tumerudi nyuma ikiwemo mpaka below poverty line, tanzania kmeshika mkia kwenye nchi zenye furaha, tanzania imeshika mkia kwenye nchi zinazofanya kwenye demokrasia ambayo awali hatukifika hii level. sasa hvi kila
mtu chawa kuanzia msomi mpaka wajinga
leo tumefika hatua tunaua viwanda vya sukari kwa kutoa vibali kuingiza sukari kiholela, how its possible leo tunaagiza mchele kutoka india na pakistan for 16.5m usd kwa mwaka over 43billion
kwenye kusifia ntasifia na kwenye kukosoa i will do the same, uchawa ni cancer ya nchi hii, lakini wacha inyeshe tujue panapovuja
Huu uwanja unaanza kuuponda saa ngapi. 😂😂😂hii siniliskia mkenya amesema mchina amekimbia site😂😂😂
some tried and now they hold the biggest slum on earth 😂 😂 😂
View: https://x.com/shaaka777/status/2115140521119355119?s=20
As we grow old, huko mbele tunakuja kujutia baadhi ya maamuzi tuliyofanya under the influence of emotions.
Wengi hawapendi hii regime, mimi mmoja wapo, na pia yupo "Chamoto" ambaye ameamua kutoweka.
Anyway, kila la kheri.
Hakuna mkenya anamshangaa hapa.Unajua tatizo nn, vitu unavyokosoa leo vilikuwepo tangu hapo awali, nawewe ulikua front ku-counter. Swali ni Je, hizo product ndo leo umeziona? Au Kuna tatizo lingine. Unajua hata hawa wakenya wenyew wanashangaa.
Nikiri, wewe ni miongoni mwa waliofanya niipende na kuifatilia hii battle.
So what? Is it the first time France is having a civil unrest? Did it collapse during those days?France is collapsing
Hakuna basi linatengenezwa Kenya.atleast kuna mambo sikuyajua, sikuwah kujua kua marcopolo zote nchini zinatoka AVA kenya
Leta ushahidi hapa. Huu ni mjadala wenye watu akili timamubadala yake nilijua zinatoka south africa, tanzania leo nchi ya 6 kwa umaskini duniani
Huu siyo uzi wa machawa wala wakaza fuvu.tumefikaje hapo mm sijui waulize machawa majibu wanayo kuna mambo mengi sana tumerudi nyuma ikiwemo mpaka below poverty line, tanzania kmeshika mkia kwenye nchi zenye furaha, tanzania imeshika mkia kwenye nchi zinazofanya kwenye demokrasia ambayo awali hatukifika hii level. sasa hvi kila
mtu chawa kuanzia msomi mpaka wajinga
TZ ina-export SUKARI kwasasa.leo tumefika hatua tunaua viwanda vya sukari kwa kutoa vibali kuingiza sukari kiholela, how its possible leo tunaagiza mchele kutoka india na pakistan for 16.5m usd kwa mwaka over 43billion
Punguza hii illusions ya uchawa.kwenye kusifia ntasifia na kwenye kukosoa i will do the same, uchawa ni cancer ya nchi hii, lakini wacha inyeshe tujue panapovuja
wana spidi sio poaHata ya Zenji kuna ukarabati unaendelea