Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Usikute tuna battle na machokoraa wa Nairobi, Wakenya gani hawa wanajisifia kwa maneno tu vitendo hamna? Hawaoneshi simu zao, hawaoneshi nyumba zao wala gari zao, hata vyeti hawaoneshi wao ni mabingwa wa kujisifu mdomoni tu
Unaweza kukuta Tony254 ndio mmiliki wa hiyo hotel,anaanzaje sasa kuonesha hotel yake kama ndio iko kwenye hali kama hiyo 😀
 

Attachments

  • Screenshot_20220524-111441_Gallery.jpg
    Screenshot_20220524-111441_Gallery.jpg
    90.1 KB · Views: 14
Per capita nikipato cha mtu moja moja kinapatikana kwa kugawanya pato la taifa na namba ya watu,GDP= total goods and service produced within a country at certain period.
Pia idadi ya watu na GDP vinachangia zaidi kujua ukubwa au udogo wa pato la mtu moja moja katika nchi,
Ahsante. Kwahiyo hata miradi inayotekelezwa si inaingia sasa kwenye Per Capital au GDP? Tanzania tunatekeleza miradi mingi sana kwahiyo sisi ni matajiri.
 
Iyo zamani mzee kipindi jpm anakufa tulikua tushafika 3 b tayar by saivi tunaweza tukawa 3.5 kama kasi ya uzalushaji haikupungua na kingine kuna mgodi mwingine wa dhahabu utaanza kufanya kazi mda sio mrefu kwaiyo 4 b mwakani tunaichungulia
Huu mgodi wa Nyanzaga Sengerema kwani umeshaanza kufanya kazi mbali na huu wa Singida?
 
Al Shabab walipovania Nairobi kwenye Mall na kuua askari mmojawapo alikuwa Samantha the black widow kawachakaza halafu akasepa hawakuweza kumkamata. Samantha ni mzungu wa UK ambaye anajihusisha na ugaidi na alikuwa ameolewa na jamaa ambaye ni Al Shabab.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Okay! hawa wanasikitisha sana,hawana mazoezi ya ukakamavu, askari wetu especially elites miili yao ni silaha tosha uje na rungu, panga, kisu au shoka utavunjwa vunjwa hadi ulimi. Wenzetu kule Kaskazini alitimua mbio, tena jambazi mmoja na panga, cha kushangaza eti huyu ni mkufunzi wa hao elites kwa miaka 10.Ni aibu kwa jeshi.
 
Wamejenga Hotel gani Boss?

Kuna Chuo kimemega, kuna Hotel pia nafikiri ni Southern sun kama sikosei wamemega na jengo lingine pia hapo pembeni pia limemega eneo la botanic garden!
Hata ukumbi wa wa Mikutano ya Kimataifa zilipo ofisi ya Mambo ya nje wamemega pia eneo la wazi, ubalozi nafikiri ni wa Denmark walimega pia eneo la wazi.

Original map ya Dar kuna Park kubwa sana ina extend mpaka Baharini hata ilipo Serena yote ni eneo la wazi, hata ufukwe wa Posta ya zamani mbele ya makanisa Azania front na St.Joseph ukivuka barabara wakati wa Ukoloni ilikuwa ni park ng‘ambo tu ya barabara ina extend mpaka feri !
 
Watanzania kwa mara ya mwisho, sio per capital ni per capita. Wengine wenu mnaudhi.
Per capita na GDP Ahsante kwa kunielewesha japo pia Watanzania wenzangu walikuwa wameshanielewesha.
 
Ninachojua kwa mfano Nairobi walifight sana kuokoa hizo parks tayari wanasiasa walishazichukuwa kutaka kujenga skyscrapers, kuna yule mama mpaka alipata nobel prize hivyo siyo rahisi ni mwamko hata sisi tunahitaji mwamko mfano sasa hivi hata Coco beach tunaenda kuipoteza kwa maana tayari Manji alishaanza kupiga uzio Lukuvi akampiga biti, hivyo ni swala la muda tu Coco beach itaenda pia!
Lakini tunaweza kutengeneza mpya. Mfano tutafute maeneo ambayo yanamsongamano wa nyumba zisizopangwa watu walipwe na kupewa eneo lingine lililopimwa then wavunje na kutengeneza hizo park.

Au watafute maeneo mengine yaliyo wazi wajenge mpya. Ni utashi tu wa serikali.
 
Hii ya Coco beach ni Magu ndiye aliyemwekea Manji kauzibe. Sasa Lukuvi wamemtoa halafu prince ndo kawekwa kusaidia kushikilia mpini. Na mama kashasema kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake, sasa watoto wetu Eid al fitr na Chrismas wataenda wapi?
Kuna mambo mengine yanasikitisha sana. Watu wengine wanajiona nchi yao ,wamepewa hatimiliki milele.
 
Lakini tunaweza kutengeneza mpya. Mfano tutafute maeneo ambayo yanamsongamano wa nyumba zisizopangwa watu walipwe na kupewa eneo lingine lililopimwa then wavunje na kutengeneza hizo park.

Au watafute maeneo mengine yaliyo wazi wajenge mpya. Ni utashi tu wa serikali.

Tulikuwa nayo mfano Mbezi Beach original map ya Mbezi beach ina kila kitu parks, public beaches, mito, maeneo ya shule lkn sasa hivi Mbezi beach watu wamejenga kwenye Mito na kuifukia maji yakitoka Mbezi juu kwenda Baharini hayana pa kupita matokeo yake mafuriko, beach karibia yote imejengwa wakati sheria za nchi ni Mita 50 ktk majini lazima pawe wazi, maeneo yalioyotengwa kwa ajili ya parks na michezo ya watoto yote wamejenga.

Sasa hivi ikinyesha mvua Mbezi beach hapapitiki kwa maana mito yote imejengwa maghorofa hivyo maji hayana pa kutiririkia !
 
Nobody cares about that thing. One thing we all know is that Uhuru in ten years has built more roads than what the colonial and all Tanzanian Presidents done combined.
Who knows that apart from you Kenyans and your Presidential Delivery Bureau. Tangible infrastructural development is recognised worldwide kwasababu hela iliyotumika kujengea hizo infrastructure inapitia mifumo ya kidunia sasa ya Uhuru aliyojengea hizo barabara zenu haionekani kwenye mifumo ya fedha za kidunia hence hawezi pata tuzo yoyote. Infrastructure aliyojenga yeye iko on papers only on the ground hakuna kitu.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Napiga zangu supu ya kuku nusu kilo asubuhi baada ya lisaa nikofresh hangover kwisha
Nchi ya neema hii mkuu, halafu eti niende Ulaya kutafuta maisha kama mkimbizi? Ikiwa nimepata kazi ya uhakika sawa lakini kubahatisha siwezi. Kuna watu huko hawali chakula organic kama hicho chako
 
Back
Top Bottom