Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi unajua Uhuru Park na Nairobi National park viimemegwa kiasi gani kipindi hiki cha Uhuru?
Acha kidanganganya wenzako Uhuru park is under rehabilitation.

20220524_140355.jpg
 
Sidhani Kama umefikia chuo Kikuu wewe, uwezo wako wa akili unatia shaka, labda chuo ulichofika ni chuo Kikuyu lakini sio chuo Kikuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Chuo alichoenda yeye ni cha uchochoroni hakina accreditation kama anabisha aweke hapa tuone.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Huwa wakicoment humu halafu app ya jf ioneshe sent by simu fulani huwa wana edit comments chap kuondoa hiyo sent by. [emoji23][emoji23][emoji23]
Usikute tuna battle na machokoraa wa Nairobi, Wakenya gani hawa wanajisifia kwa maneno tu vitendo hamna? Hawaoneshi simu zao, hawaoneshi nyumba zao wala gari zao, hata vyeti hawaoneshi wao ni mabingwa wa kujisifu mdomoni tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hivi karibuni si tumeona vyeti rundo vya mkulungwa[emoji1787].
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Usikute tuna battle na machokoraa wa Nairobi, Wakenya gani hawa wanajisifia kwa maneno tu vitendo hamna? Hawaoneshi simu zao, hawaoneshi nyumba zao wala gari zao, hata vyeti hawaoneshi wao ni mabingwa wa kujisifu mdomoni tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ndo yale yale ya kujisifu tajiri wakati hauna msosi. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi karibuni si tumeona vyeti rundo vya mkulungwa[emoji1787].
Ndio mkenya pekee aliyethubutu kuonesha cheti, wengine bado wanasoma wanaongopa eti wanafanya kazi lkn masaa 24 wapo humu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom