The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Serikali ina maneno maneno hii!!!!Wanaipeleka luguruni, ubungo
Serikali ina maneno maneno hii!!!!Wanaipeleka luguruni, ubungo
Finishing ndiyo huwa inawashinda kabisa.
Hana mpinzani kwa kuwajengea reli ya diesel ambayo hata wataalamu wetu wa Suma jkt wangewajengea [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ikija kwa infrastructure mchina hana mpinzani.
Shida iko wapi? Nilidhani mmepokea ndege ambayo haina uwezo wa kutua JNIA kama ambavyo JKIA haina uwezo wa kupokea A380 iliyotua JNIA [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndege ya Fedex imeanza kupiga route ya Kenya. Kenya ndio nchi ya pili hapa Africa baada ya South Africa kupokea regular flights za Fedex.
Kenya bhn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]KDF walishapokea training and are now using UAVs, huko bongo jeshi yao haijui drone ni nini. Yani tunaweza wapiga vita or spy on them tukiwa in our own country.
![]()
Fedex haitui huko kwenu.Shida iko wapi? Nilidhani mmepokea ndege ambayo haina uwezo wa kutua JNIA kama ambavyo JKIA haina uwezo wa kupokea A380 iliyotua JNIA [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ona soldiers wenu washamba vile wameshangaa, wote wanachungulia controller ya drone ju hawajwai ona kitu kama hio. 🤣 🤣 🤣 🤣Kenya bhn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kipi cha ajabu hapo? Sarakasi Bungeni, nyinyi kwenu hampigani ngumi hadi kuchaniana nguo?Watanzania hutumia asilimia moja ya akili yao
Kiswahili Chenu kichefuchefuOna soldiers wenu washamba vile wameshangaa, wote wanachungulia controller ya drone ju hawajwai ona kitu kama hio. 🤣 🤣 🤣 🤣
![]()
So ushakubali kwamba drone zipo na tumekuwa nazo kabla yenu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ona soldiers wenu washamba vile wameshangaa, wote wanachungulia controller ya drone ju hawajwai ona kitu kama hio. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
![]()
Sasa hiyo c makubaliano tu nn cha ajabu hapo, tukikubaliana inatua lkn nyie hamna Airpot ya ku handle A380 hata mkikubaliana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Fedex haitui huko kwenu.
Drone ni ya huyo mchina hapo, kazi yenu ilikua tu kuchungulia kama washamba. 🤣 🤣 🤣So ushakubali kwamba drone zipo na tumekuwa nazo kabla yenu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unayetaka kumuwekea sheria kali hana maadili, mwizi, fisadi, hana uzalendo, muongozaji wa genge la wezi. Swali sasa ni nani atakayeruhusu umtungie sheria ya namna hii?Unadhani atakuruhusu ulete mjadala wa muswada wa sheria na aipitishe?Mm nitatofaitiana na nyinyi kidogo, huwezi kuwafundisha watu kuwa wazalendo ata kidogo, namna pekee ya kuondokana na hii hali ni sheria kali tuu bila kumfumbia mtu macho kwa namna iyo ndo tutawwza kuleta uwajibikaji na uzalendo serikalini, mfano ulio haI na wawazi kabisa ni uwepo wa dini na serikali katika kila nchi hapa duniani imesaidia kuregulate mienendo na hulka za watu la sivyo kungekua hamna mpangilio
Sasa tukija kwenye serikali yetu ufisadi mwingi lakini ata siku moja hatujawahi kuskia kiongozi flani au mkurugenzi flani kafungwa au ata kufikishwa mahakamani, Magufuli kidogo ndo halijitahidi sasa hii hali ya viongozi wetu wakuu kutowajibika na kuchukua hatua za ziada ndio inatukosti
Unataka tuanze vita ya airport, utawezana? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]KDF is hosting a free Airshow this Saturday at Uhuru Gardens. Event kama hii huwezi pata bongo ju hawana extra airport, enyewe maskini hana raha. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Mwanza inachapa ka Nairobi hands down [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Clean and beautiful streets of Mwanza .. View attachment 2236999View attachment 2237000View attachment 2237001View attachment 2237003
Walijaribu kutaka kutuaminisha Magufuli alikuwa mbaya ,lakini kwanini yeye baada ya kuondoka?kama ni hivyo na wana kinga.. kwanin wanamuogopa Rais ambae yupo madarakan.. yan kuongea maovu/ufujaj mali anaofanya huyo Rais.. akiondoka ndo unaambiwa huyu ali fanya hiv na hiv..alipokuwa madarakan hawasemi.. nilijua hawasemi kwasababu anajua Rais atamuondoa
Huna hoja nenda kakojoe ulale.Drone ni ya huyo mchina hapo, kazi yenu ilikua tu kuchungulia kama washamba. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Wewe unafanya kazi airport kama soja na hujawai kuona airshow. Kuja Nairobi this weekend utoe ushamba.Unataka tuanze vita ya airport, utawezana? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wacha hasira, Wapi hio drone ya airforce yenu tuone? Mchina alirudi na yake kwao.Huna hoja nenda kakojoe ulale.