Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizi vitu hamuwezani nayo.
Kenge huwa hamsikii hadi damu iwatoke.

View attachment 2236736
View attachment 2236738
View attachment 2236739
Capabilities ya fighter jet ni uwezo wa kutumia silaha hatari hio ndege yenu bandia hata mid range missile haiwezi beba.

1653389503701.png


F-5 inabeba silaha hatari sana ndio kwa maana ikona hardpoint mounting saba. Hio ndege yenu bandia haiwezi beba any nucleur war head or medium range missile. 🤣 🤣 🤣



1653389718665.png
 
Kenya is very secretive with its military capability that even Kenyan enthusiasts like me usually are surprised when we see some attack helicopters which we didn't know existed, and no wonder even Wikipedia has no idea about the additional information. They left out a lot of aircraft that even came out to the public including the
Eurocopter Fennec Combat helicopters(the only time we saw these pictures, were during delivery, note that the rotor blades and coaxial armament/weapon system like grenade launchers/machine guns aren't attached yet. The last picture shows final assembly and Since then little is known about them / has been spotted

View attachment 2236729View attachment 2236730View attachment 2236731Bell AH-1F Cobra attack helicopters were just a story/speculations until they appeared in holiday celebrations View attachment 2236742View attachment 2236743
Hahahaha, Kenya still uses second generation fighter jets while the world is entering to sixth generation, hurry up you are very far behind.

In 2013, Tanzania retired 12 Mig 21, which were second generation, and we acquired 14J-7 which are third generation fighter jets.

Soon we are going to buy J-10, a fourth generation fighter jet from China.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Capabilities ya fighter jet ni uwezo wa kutumia silaha hatari hio ndege yenu bandia hata mid range missile haiwezi beba.

View attachment 2236744

F-5 inabeba silaha hatari sana ndio kwa maana ikona hardpoint mounting saba. Hio ndege yenu bandia haiwezi beba any nucleur war head or medium range missile.



View attachment 2236746
Kadanganye Wakunya wenzako huko. Capability ya fighter jet ina involve vitu vingi tuu kama pay load, range and attitude, maneuverability, technology etc

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hahahaha, Kenya still uses second generation fighter jets while the world is entering to sixth generation, hurry up you are very far behind.

In 2013, Tanzania retired 12 Mig 21, which were second generation, and we acquired 14J-7 which are third generation fighter jet.

Soon we are going to by J-10, a fourth generation fighter jet from China.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mzee hujisikii aibu kuringa na ndege za Kichina??
 
F-5 Northop has some maneuver capabilities that only chengdu coud wish for... These are some low fly-by videos that have been captured over the years including formation

Mtu alete za Chengdu hapa tu compare



 
Mambo mengi uliyosema ni maoni yako, hiyo ni haki yako kutoa maoni lakini haina maana kwamba ni sahihi. Ngoja nizungumzie kuhusu CAG, yote uliyosema kuhusu CAG yamo katika Katiba ya Sasa. Rais Hana madaraka ya kumuondoa CAG baada ya kumteua ndani ya kipindi cha miaka mitano, ila anayo mamlaka ya uteuzi kila kipindi cha miaka 5.

Tatizo ninaloliona ni tatizo la tafsiri, ninahisi wewe ni miongoni mwa watanzania wengi wanaodhani kwamba Assad aliondolewa ktk nafasi yake, hiyo sio kweli, yeye alimaliza kipindi chake cha kwanza, ila rais hakumteua tena kuendelea na kipindi chake cha mwisho. Kumbuka rais halazimishwi katika kufanya uteuzi wa mtu anayemtaka, ila akishafaya uteuzi, Sheria inabada jinsi ya kumtoa madarakani kabla ya muda Wake

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kuna utofauti wowote kwa Jaji mkuu na Majaji wa Mahakama kuu na za Rufani? Maana hawa nao wakishateuliwa sidhani kama Rais ana mamlaka ya kuwatengua.
 
Back
Top Bottom