Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tatizo la kiongozi mkuu kazi yake ni kusema tu "nendeni mkafanye haya..." Haoneshi kuguswa na upigaji uliotukuka, ni km vile yeye ndiye anayewatuma wakapige. Ufisadi ukitokea haoneshi kuguswa kabisa, nammis sana Magufuli wallahi na sijui nitampata wapi.
Hajishughulishi na wezi anatafuta kupendwa na kukubalika na wapigaji wengi, atakwama. Ana nia nzuri kukuza kipato cha Mtanzania lakini pasipo kudhibiti mianya ya upigaji hatufiki tuendako.
 
Haya uliyoyasema mengi yapi ndani ya Katiba ya Sasa, machache ambayo hayamo, Wala hayahitaji kuandika Katiba mpya, yanahitaji tu kufanyiwa marekebisho na kuingizwa ndani ya Katiba ya Sasa.

Mkuu, Katiba ni kitu hai ambacho kila siku au mwaka Kuna mabadiliko hutokea, ni lazima kuyatoa na kuingiza mapya ili kukidhi matakwa ya mapya ili kujibu changamoto mpya.

Mkuu, Katiba mpya sio muarubaini wa matatizo, Kenya waliandika Katiba mpya, miaka kumi baadae wanaona haina maana kwasababu haikujibu shida zao wanataka ifanyiwe marekebisho(BBI).

Mkuu, Katiba ni Kama binadamu, akishazaliwa, wazazi wanapaswa kumlea, kumtibu pale anapoumwa na kumrekebisha pale anapokosea, sio kumuacha na kuzaa mtoto mwengine.

Mkuu, unaweza kunipa mfano wa nchi yoyote ambayo imepiga hatua ya kimaendeleo, umoja, utulivu na mshikamano hapa duniani kwa kubadili Katiba?.





Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Bora umemueleza..

Huko South kwenye umaskini wa kutopea hakuna Katiba mpya? Kenya je? Ghana ?

Katiba mpya ndio itazuia kuwahonga watu wa CAG wakati wa Auditing? Katiba mpya ndio itazuia boss wa Taasisi asilipe posho zisizofanyiwa Kazi Kwa kuachezea tuu attachments?

Tanzania haina shida ya Katiba mpya,Tatizo la Nchi hii ni jamii isiyo na maadili,uvivu na kupenda maisha ya shortcut...

Mtu anaongea mambo ya Rais sijui makumu as if hao ndio wanasababisha ugumu wa maisha..Bila kupambana kutafuta maisha Hali itabakia hivyo hivyo...

Trump alikuwa anafukuza watu daily ,kule hakuna Katiba mpya? Huko America na Ulaya kuna mfumuko wa bei kuliko kwetu,Katiba zao Bora na mpya zimewasaidiaje? 😜😜😜😜😜
 
Back bone of any Air force is fighter jets, not all carriers or Helicopters, all those planes can't fight and win the war, just to give supports to ground forces by transporting supplies.

Kenya you have not more than 5 - fighter jets, F-5 which are very old and outdated. Uganda is superior on Air force because they have 6 fighter jets SU-30, almost brand new, followed by Tanzania has 14 brand new J-7, followed by Kenya has very old 5 fighter jets F-5, very old, followed by Rwanda which has only fighter Helicopters, Rwanda doesn't have fighter jets, lastly is Burundi which has very old fighter Helicopters.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mungiki uwaambi kitu na f-5 zao chakavu aisee!
 
Bora umemueleza..

Huko South kwenye umaskini wa kutopea hakuna Katiba mpya? Kenya je? Ghana ?

Katiba mpya ndio itazuia kuwahonga watu wa CAG wakati wa Auditing? Katiba mpya ndio itazuia boss wa Taasisi asilipe posho zisizofanyiwa Kazi Kwa kuachezea tuu attachments?

Tanzania haina shida ya Katiba mpya,Tatizo la Nchi hii ni jamii isiyo na maadili,uvivu na kupenda maisha ya shortcut...

Mtu anaongea mambo ya Rais sijui makumu as if hao ndio wanasababisha ugumu wa maisha..Bila kupambana kutafuta maisha Hali itabakia hivyo hivyo...

Trump alikuwa anafukuza watu daily ,kule hakuna Katiba mpya? Huko America na Ulaya kuna mfumuko wa bei kuliko kwetu,Katiba zao Bora na mpya zimewasaidiaje? 😜😜😜😜😜
Sasa hayo maadili kwa watu tunayapataje
 
Hili daraja Lina trend Sana 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220523-182549.png
    Screenshot_20220523-182549.png
    148.4 KB · Views: 11
Unataka kufananisha fighter jet za 1950 na 2010s J7G mpyaa tena upgraded!

Au ni ubishi wa kikunya unaendeleza hapa.
My friend, Kenya is moving with the current world on matters war and combat.!! its not tht we are lagging behind on matters fighter jets.....


F5 infact is still very active rightnow throughout the world including 'The US' itself

nb:
please note that war is not about beauty and shows (like you would see in car shows).
war is all about efficiency and mission achievement.. hence F5.

Las Vegas, US in 2018 👇🏽
Screenshot_20220524-120124_Chrome.jpg





South Korea in 2019 👇🏽
gettyimages-1125974452-612x612.jpg

Screenshot_20220524-120512_Chrome.jpg








Kenya in 2022 👇🏽

IMG_1796.jpg




Also take the case of AK47 for instance.... Russians are still using it to date.! including during the recent Ukraine war.!! war is about swiftness and hitting goal target.. thats why AK47 design still retain its original 1947 design by Kalashnikova, to date.!!!


see for yourself 👇🏽👇🏽



Screenshot_20220524-120724_Chrome.jpg
Screenshot_20220524-120640_Chrome.jpg
 
Sasa hayo maadili kwa watu tunayapataje
Lazima tuanze kuyajenga kwa watoto wadogo wakiwa shule hadi university yaani haya yanakuwa ni masomo mtambuka...

Hili likifanyika ndio itajenga sense ya kuheshimu Katiba na sheria na kuwajibika vinginevyo kuweka tuu hizo Katiba bila maadili tutazipuuza tunatengeneza mazingira ya upigaji vilevile..

Binafsi kwangu kitu cha muhimu kwenye Katiba nataka mamlaka za serikali za mitaa zipewe nguvu za kujisimamia Ili tutumie rasilimali za maeneo yetu kujijenga kuliko ilivyo sasa unaletewa DED,DC,RC na mambo kama hayo na huna cha kuwafanya..
 
Watu 100 wenye nguvu na ushawishi Dunia,Samia ndani..

Usiyempenda kaja 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220524-120324.png
    Screenshot_20220524-120324.png
    188.4 KB · Views: 9
  • Screenshot_20220523-183047.png
    Screenshot_20220523-183047.png
    100.5 KB · Views: 10
Kunyaland wekeni Bajeti yenu ya Ujenzi tulinganishe..

Kishindo cha Samia 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220524-093832.png
    Screenshot_20220524-093832.png
    105 KB · Views: 10
  • Screenshot_20220524-120244.png
    Screenshot_20220524-120244.png
    159.4 KB · Views: 13
Nyati mwingine mweupe aonekana baada ya yule wa awali,utafiti waamzishwa kuwabaini 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220524-092254.png
    Screenshot_20220524-092254.png
    100.2 KB · Views: 10
Nimetaja points 5, afu unasema mengi (maana yake zaid ya nusu, yan kuanzia mbili) yapo ndan ya katiba ya sasa.. nitajie hata mambo mawili niliyoyataja ambayo yapo kwenye hio katiba ya sasa
Mambo mengi uliyosema ni maoni yako, hiyo ni haki yako kutoa maoni lakini haina maana kwamba ni sahihi. Ngoja nizungumzie kuhusu CAG, yote uliyosema kuhusu CAG yamo katika Katiba ya Sasa. Rais Hana madaraka ya kumuondoa CAG baada ya kumteua ndani ya kipindi cha miaka mitano, ila anayo mamlaka ya uteuzi kila kipindi cha miaka 5.

Tatizo ninaloliona ni tatizo la tafsiri, ninahisi wewe ni miongoni mwa watanzania wengi wanaodhani kwamba Assad aliondolewa ktk nafasi yake, hiyo sio kweli, yeye alimaliza kipindi chake cha kwanza, ila rais hakumteua tena kuendelea na kipindi chake cha mwisho. Kumbuka rais halazimishwi katika kufanya uteuzi wa mtu anayemtaka, ila akishafaya uteuzi, Sheria inabada jinsi ya kumtoa madarakani kabla ya muda Wake

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom