7seven
JF-Expert Member
- Mar 27, 2022
- 3,744
- 8,066
Ila wakati mwingine unawashangaa watu wa vyama vya siasa kupotosha kitu ambacho ni dhahiri ni kweli ili kutafuta cheap popularity,na huwa wanafanikiwa sana maana watu wanaangalia nani kasema ila siyo aliyesema amesema ukweli kwa kiasi gani.Huo ndio ukweli, lakini Kama kawaida ya vyama vyetu vya upinzani, kelele nyingi Sana, mara nyingi wanapotosha jamii wakijua kwamba watanzania wengi hawafuatilii Mambo kwa undani, wao hufuata Kule kwenye kelele nyingi
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app