The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,538
Nyingine hii hapa ipo Nairobi





Nyingine hii hapa ipo Nairobi





aah wapi.?Ushawahi sikia slums Japan?
umekasirika au??🤣🤣🤣🤣Oya ni rahisi sana kumanipulate currency. Kuifanya iwe strong au weak sio jambo ngumu.
![]()
Currency Manipulation 101
What Is It and How Does It Affect American Jobs? Why Is Currency Important to Trade?www.americanautomakers.org
Gumboots ni kwa ajili ya mashamba tu?Jamaa wanavaa hadi gumboots za shamba ndani ya slaughter house. 🤣 🤣 🤣
![]()
When it comes to abattoir n safe meat Kunyaland is waay behind!Ebu compare na hizo zenu ambazo hata kichwa hawafuniki na eti imejengwa na serikali. 🤣 🤣 🤣 Munakula nywele za watu.
Kunyaland![]()
Kuna color code we mzee.Gumboots ni kwa ajili ya mashamba tu?
hapa imeandikwa vizuri sana kua ni stjwetla, johannesburg, naona una jaribu sana kuforce iwe nairobiKwani wewe ujui kuwa picha za slum za kenya na nigeria ndiyo icon ya slum zote africa hivyo utumika picha zenu kuelezea matatizo ya nchi mbalimbali duniani![]()
Kwenye ulaji daily wa kuku Tanzania ni 34% while kunyaland ni 3% halafu bado ndio most preferred meat kuliko beef, sasa tukisema kwenye beef Tanzania itakua 500% zaidi ya kunyaland
Mazingira tunayoishi majority of Nairobians ndio hayaMnaogopa tutajuwa mazingira mnayoishi![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
kwani is it a lie? Is Tsh 22b the same as Ksh 30b? Feelings peleka Tandale...
Aliyekuzuia kupost hizo sehemu zingine ni nani?
Leta kifungu cha ISO standards specifications zinachosema lazma ziwe nyeupe!Kuna color code we mzee.
Hizo mnakunywa ndio chang'aa, ndio maana zeharamishwa Kenya. Huku ukipatikana na Serengeti mkononi seli lazima ukionjeWewe ni taahira ulisema hakuna beer ya 1500, nimekuletea unasema hizo sio beer, wakunya zenu chang'aa tu, haya mambo tuachieni wenye uwezo huo!
Mna chicken gani za kuchinja wakati kunyaland hamli chicken?Chicken slaughterhouse in Tanzania 🤣 🤣 🤣 🤣
![]()
Chicken slaughterhouse in Kenya
![]()
Now that wewe si mpumbavu si ungeendelea tu kupost na hizo zingine pia angalau hii kihoja kiishe?Nilipost moja kupinga ukondoo, ujuaji na upotoshaji wako pumbav.