Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa slaughter ya chicken ya nn wkt hamuwali hao chicken [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mambo safi kwenye misharaha, kibubu kimejazwa[emoji383]..japo kwangu kaongezeko ni kidogo lkn kheri.. kaupiga mwingi, lkn 2025 apumzike [emoji28]
Me mwenyewe nmeshangaa mwezi huu mbona kahela kameongezeka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116]
 
Jana mtu nilisikia, huyo bibi alikua akilipa 60 million kwa siku kwenye hotel aliyofikia huku Marekani, hiyo ni yeye tu.
Kama ni kweli hii habari inasikitisha sana, kwahiyo alikodi hotel nzima mwenyewe?
Hizi gharama kwa uchumi wetu huu?[emoji848][emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…