Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sasa oneni vile thika highway barabara ilivo kabla ya zile filter zao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


no filters [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2235458View attachment 2235459View attachment 2235460
Huwa wanaweka picha za uzinduzi wanaongeza na make up, jamaa wachafu sn na hawana elimu ndiyo maana co wastaarabu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Zile ni viroba ndugu, zile sio beer. Ndio maana zinauzwa huku kimagendo. Eti upatikane unakunywa sijiu Serengeti! Ndani lazima utalala
Actually it's in recent days Serengeti priced at 1500

images - 2022-05-23T133940.721.jpeg


images - 2022-05-23T133848.126.jpeg
 
Sasa mbn picha moja umeizungusha zungusha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama kawaida yake, hanaga picha mpya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nairobi huwezani nayo ndugu
IMG_20170902_072504.jpg
2022-03-29.jpg
2021-02-18.jpg
IMG20210218160136.jpg
2021-12-01 (3).jpg
IMG_20180315_142655.jpg
i_gat_shots-20220320-0071.jpeg
images - 2022-05-05T142711.362.jpeg

Hebu sasa tuletee zile ghorofa tatu za Kijikonyama pembezoni mwa barabara? 😂

IMG20211127082620.jpg
 
Sasa ndio umefanya nini au uhaba wa picha? Picha moja unaizungusha ili umuongopee nani, au unapata faida gani.
Bongolala, I know you got nothing outside of your cbd, and that's what's paining you most. Hapo nimeweka picha za Gigiri, Upper Hill, Kileleshwa, Westlands, Nairobi West, na hata Spring Valley na maeneo mengine. Sasa mwasho wako ni wa nini? You can't get such pictures outside Dar cbd na hapo ndio mauchungu yako yapo
 
Ndege za samia zimeishia wapi si alituambia kanunua cash ndege mpya 5 zitakuja tz. Mbona imekuwa kimywa sana
Acha ndege tuuu, tuliambiwa kusu arena mbili,treni za umeme zilitakiwa zifike mwishoni mwa april au mwanzoni mwa mai sasa ni 23 of mai, tuliambiwa daraja la pale mto msimbazi sijui kama wanakumbuka tena...
Akuna kitu kinaeleweka so far ngoja tuendelee kusubiri zaidi high inflation, madarasa yaliyonpigiwa chapuo jee yamekamilika na kutosha?
 
Sisi tunakichezea kiswahili tunavyotaka huwezi kunifundisha kiswahili wewe jaluo, hapo huwa nasema "ramba" japo najua naweza pia kutumia "lamba" upo jaluo?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sema umeathirika na lugha ya mama, senji!
 
Back
Top Bottom