Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji28][emoji28][emoji28]
Acha ukora bana! Hakuna kitu kinachohusika na Elimu hapo nimeona tu Mishahara,na Kama unaleta mambo ya mishahara, leta mishahara inayohusika na elimu kama kulipa waalimu, acha kuleta mishahara ya wafanyikazi wa serikali kwa jumla..
You know what the funny part is?
Hata uongeze hayo mambo yoote na uongo zoote bado haifikii bajeti ya elimu ya Kenya [emoji28][emoji28]View attachment 2232340View attachment 2232338View attachment 2232342
View attachment 2232353
We Mkora ngoja nikupe muundo wa wizara za Tanzania uzuri sisi tulishaanza devolution since 1972. Wizara ya elimu afya kazi yao kubwa ni policy and guidelines kwa wizara ya elimu ukiachana na primary responsibility yao ya kusimamia policy and guidelines pia husimamia na kuendesha shule kuanzia A level schools kwenda juu japo pia kuna wizara ya sayansi na elimu ya juu pia nayo inauisika kwenye vyuo vikuu. Ukija kwenye wizara ya afya wao wanasimamia hospitali za rufaa za kanda na hivi juzi magufuli kawapa hospital za rufaa za mkoa pia. Sasa Tanisemi yenyewe ndio iko kwenye grassroots inasinamia afya na elimu. Kwenye elimu inamiliki kusimamia na kuendesha shule zote za chini mpaka O level hali kadhalika kwenye afya wanasinamia hospitali zote za ngazi ya chini mpaka kwenye district hospitals. Na usimamizi huu wa Tamisemi unahusu ujenzi wa shule na hospitali, mishahara ya watoa huduma ya afya na walimu na pia gharama zote za uendeshaji. Hii inadhihirishwa kwa wizara ya Tamisemi kuwa na katiku mkuu PS mmoja na deputy PS wawili mmoja kwa upande wa elimu na mwingine upande wa afya. Nadhani sasa umeelewa ila kama bado make Google your friend uone jinsi Tamisemi inavyofanya kazi.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
[emoji28][emoji28][emoji28]
Acha ukora bana! Hakuna kitu kinachohusika na Elimu hapo nimeona tu Mishahara,na Kama unaleta mambo ya mishahara, leta mishahara inayohusika na elimu kama kulipa waalimu, acha kuleta mishahara ya wafanyikazi wa serikali kwa jumla..
You know what the funny part is?
Hata uongeze hayo mambo yoote na uongo zoote bado haifikii bajeti ya elimu ya Kenya [emoji28][emoji28]View attachment 2232340View attachment 2232338View attachment 2232342
View attachment 2232353
Kama bado unabisha Tamisemi haisimamii elimu na afya soma hapo uone uondoe ujinga wako.

Screenshot_20220521-092242_Opera.jpg


Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
ichoboy01 sioni mkishinda hii vita. Hii ni $40 billion inakwenda Ukraine. Hii ni nusu ya gdp ya Tanzania inakwenda Ukraine kupigana vita. Marekani imeamua kutumia rasilimali yao yote kusaidia Ukraine. Tayari USA imeshatumia zaidi ya $10 billion kwenye hii vita. Sasa ongezea $40 billion kwa hio $10 billion. Mimi naona Putin alifanya ujinga kuinvade Ukraine.

hawezi toa hio pesa wakat nchi yake yenyewe imekufa kiuchumi 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hivi wamepewa kazi ya kusifia serikali au vp...awamu ile mapambio yalikua kedekede...
Btw Mama kuna vitu anavipeleka ndivyosivyo...Yani amejitajidi kusahihisha madudu ya Jpm alafu anatengeneza yake mwenyewe...especially hili suala la mfumuko wa bei ya vitu muhimu
Ukiacha kubana upinzani which was very bad, Magu hana dudu lingine lolote nakuambia na hilo likae kichwani kaka.
 
Back
Top Bottom