Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sema tu unajaribu kujitetea ni kwa nini Tanzania hamna malls. Mambo ya freshness ni kisingizio tu. Nairobi ipo mbali na lake Kisumu au Indian Ocean so samaki haiwezi kuwa fresh kiasi cha kumwagika damu kwa sababu lazima itiwe kwenye freezer na kusafirishwa hadi Nairobi. Kwa hivyo hata samaki wa sokoni hapa Nairobi wametiwa kwenye freezer wakati wa usafirishaji. Au wamekaushwa kabla ya kusafirishwa. Watu wa Dar au watu wa Mombasa na Kisumu ndio wanakula samaki fresh.
Kwanini unafikiri kila Whiteman lifestyle ni a must lifestyle for everyone? Mbona una akili ndogo sana mjomba
 
Yaani miji ya Tanzania yote ipo very calm and moderate hakuna tension kama miji ya kunyaland, kunyaland hapo unakuta sidewalks zote zimejaa watu wanakanyagana vichwani
Because there's no serious economic activity going on in Tanzanian cities.
 
3 city ni plot Mzungu ameamua kununua na kuita wazungu wenzake na kuwapangishia property na kukusanya pesa, kunyaland haipati kitu kabisa, white man business for white investors at the expense of nuts kunyans
Now you are starting to accept the reality. Tatu City is better than Dodoma mara kumi.
 
Sema tu unajaribu kujitetea ni kwa nini Tanzania hamna malls. Mambo ya freshness ni kisingizio tu. Nairobi ipo mbali na lake Kisumu au Indian Ocean so samaki haiwezi kuwa fresh kiasi cha kumwagika damu kwa sababu lazima itiwe kwenye freezer na kusafirishwa hadi Nairobi. Kwa hivyo hata samaki wa sokoni hapa Nairobi wametiwa kwenye freezer wakati wa usafirishaji. Au wamekaushwa kabla ya kusafirishwa. Watu wa Dar au watu wa Mombasa na Kisumu ndio wanakula samaki fresh.
Mbona nyie hamna modern markets n abattoirs kama Tanzania? BTW do u know each modern bus terminal is having space for supermarkets? It's just the mode of business too many European countries prefer supermarkets to malls!
 
Eti hatuna, modern markets ziko hadi kwa estates.
 
👍👍🔥🔥Mombasa port ime surender kwa Dar port👇

Screenshot_20220521-195720.png

Screenshot_20220521-220513.png
 
Back
Top Bottom