Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

😅😅😅
Acha ukora bana! Hakuna kitu kinachohusika na Elimu hapo nimeona tu Mishahara,na Kama unaleta mambo ya mishahara, leta mishahara inayohusika na elimu kama kulipa waalimu, acha kuleta mishahara ya wafanyikazi wa serikali kwa jumla..
You know what the funny part is?
Hata uongeze hayo mambo yoote na uongo zoote bado haifikii bajeti ya elimu ya Kenya 😅😅View attachment 2232340View attachment 2232338View attachment 2232342
View attachment 2232353

Kama akili huna basi,kwa kukusaidia hapo walipoandika Halmashauri Ndio elimu ipo,bajeti hizo za Halmashauri na mikoa zinahusika na usimamizi wa Elimu..

Soma hii pdf basi 👇
 

Attachments

These kinds of leaders 😑
Sema kiufupi serikali ya sasa ya kindezi sana
Ndo mana hata maRC na maDC wamepiga kimyaa


Ndezi utakua wewe unaelialia kama mtoto wa ngedere..

Hao uliosema wamekaa kimya watasakwa tuu na watafyekelewa mbali ni baadhi yao tuu na wanafahamika.

Huo ndio ukweli ulitakaje sasa mfuasi wa mwendakuzimu
 

Kwani umemuona huyo tuu? Yupo hadi Eliakim Maswi ..

Nuna vizuri hadi ufe 👇

IMG_20220521_001622_685.jpg


IMG_20220521_001625_813.jpg
 
Team ya wivu kutoka kusini, habari ni kwamba ujenzi wa jengo hili limefikia 34th floor. Imebakia 10 more floors to go.

1653111018108.png
 
Kuna mall kubwa sana inajengwa Eastleigh na ipo 90% complete. Inaitwa BBS mall. Hapa Afrika, South Africa tu na pengine Egypt ndio wametushinda kwenye idadi na ukubwa wa malls. Hata hio Egypt siko sure.




 
Kuna mall kubwa sana inajengwa Eastleigh na ipo 90% complete. Inaitwa BBS mall. Hapa Afrika, South Africa tu na pengine Egypt ndio wametushinda kwenye idadi na ukubwa wa malls. Hata hio Egypt siko sure.





wacha kudharau Egypt. not only are they significantly wealthier than Kenya but alot more organized than we are. By African standards, Egypt is on heavy weight level and we're on welterweight
 
Jaribu tena uongo ingineView attachment 2232388
Mnajaribu kudanganya watu ambao wanaeza fanya utafiti mdoogo sana kupata ukweli..these are public documents!

Kwa ivo JKT inapata Tzs 386 billion wakati KDF inapata Kes 128 bn.
View attachment 2232392View attachment 2232393
Ina maana hujui ulichoshare hapo hii inaonesha how stupid you are by shooting yourself on the foot. Defences buget Kenya KES 128bn Tanzania TZS 2.7Tr equivalent to USD 1bn for Kenya and USD1.2bn for Tanzania

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
wacha kudharau Egypt. not only are they significantly wealthier than Kenya but alot more organized than we are. By African standards, Egypt is on heavy weight level and we're on welterweight
I said I am not sure. Sasa hio ni kuidharau aje? I just don't have enough information about Egypt ndio maana nimeiweka kando. But in Sub Saharan Africa (excluding North African countries), Kenya ndio ina second highest mall space, according to this 2017 Knight Frank report.
 
Back
Top Bottom