Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

EACOPP


EAST AFRICA CRUDE OIL PIPELINE: More funders on board despite opposition

ntv.co.ug

May 19, 2022 12:00 PM

Even while the Crude Oil pipeline project seems on the outside set for execution, opposition against its funding still rages on. Deutsch Bank, a German financial institution has now publicly declared that they pulled off funding the pipeline. However, for government and the pipeline company, there are other prospective funders already on board.

View attachment 2231992

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Huu mradi ushakufa huu,
 
Hawezi elewa vitu vya mbele hivyo kwake hata electric powered sgr hawezi elewa utaratibu wake ukoje.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Amuangalie mkenya mwenzake Teargas huyu hapa amekuja kutoa tongo tongo Dar, aangalie kama bus alilopanda linasimama kila kituo then atapata funzo kama akili bado zimo!

 
Mfumuko wa vitu unaletwa na mama,acha utoto na ujinga..Huo mfumuko uko Tanzania tuu? Hujui chanzo? Huoni serikali inavyopambana kuukabili?

Kusifia boss wako kwenye masuala ya kisiasa ni lazima sio ombi ila tuu usisifie kwa unafiki..

Concern ya Chongolo hapo na hata Shaka alisema Wakuu wa Taasisi na Viongozi hawawelezi wananchi mambo ambayo serikali inafanya..

Kama hawawezi wapishe la sivyo watatumbuliwa sio mda.

Kichwa ni hazina sio pambo[emoji116]

View attachment 2231849
Kwahyo ni kitu gani cha maana kinafanya unga wa mahindi 1kg uuzwe 1400?we Acha kua mjinga unasifiasifia kila kitu kama mwehu
 
Kwahyo ni kitu gani cha maana kinafanya unga wa mahindi 1kg uuzwe 1400?we Acha kua mjinga unasifiasifia kila kitu kama mwehu
Aisee wewe uko Nchi gani?

Kwanza msimu wa mvua kwa mwaka Jana zimenyesha kidogo Mazao hayajaiva kama miaka ya nyuma,yamekauka mashambani,kwa hiyo mavuno yatakuwa hafifu hii pekee ni sababu ya mahindi kuwa juu,saizi gunia la mahindi ni 50,000-55,000 shambani..na gunia la mpunga ni 70,000-80,000 shambani.

Pili Nchi za Pemba ya Africa zina ukame wa moja kwa moja kwa hiyo walanguzi ni wengi Sana wananunua wanapeleka..

Tatu ni suala mtambuka la kupanda Kwa gharama za usafirishaji kulikosababishwa na bei za mafuta..

Sasa hapo mama anahusikaje? Zaidi zaidi Juzi kule Tabora Rais aliwataka watu watunze chakula kwa sababu Kwa macho yake amesema ameona mimeo imekauka ikiwemo mahindi na alizeti..

On top of that akasema akasema serikali yake itatoa kipaombele kwenye kilimo cha umwagiliaji 👇

Screenshot_20220520-152553.png
 
Back
Top Bottom