The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
Baada ya Ksh.sasa ni Ush.kuporomoka.
Only Tsh is gaining strength against us dollar 👇
Only Tsh is gaining strength against us dollar 👇
Land compensation in our case crosed the 30 billion Kenya shillings mark. Sijui hizo ni trilioni ngapi hela za madafu.
And then land compensation wasn't just in two regions like I have seen above. It was along the entire stretch
Kwako maendeleo ni nyumba tu? Barabara ya lami sio maendeleo kwa city inayojengwa from scratch? Mitaro za maji na sewage sio maendeleo? Fibre optic cables sio maendeleo? Nyaya za umeme kwanza ambazo zinawekwa underground sio maendeleo? Lazima uone majengo ndio ujuwe kwamba kuna maendeleo sio?Tukiwaambia Muweke maendeleo ya Konza city mnaweka nyumba mbili.
All those roads I have mentioned ni za kuingia na kutoka Nairobi.Unaelewa maana ya artery road au unaongea tuu ali mradi na wewe kopo lako linatoa sauti kubwa?
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Tatizo lao ni vyombo vyao vya habari na viongozi wao kwa muda mrefu wamekuwa wakiwajaza ujinga na wao wenyewe bila kuchuja yamekua yakiimba Kama mazuzu, Wala hawamjui maana ya serikali kuwa ndio yenye kumiliki ardhi, wajinga Sana hawa jamaa
Tony254
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
I understand your pain. Anyway, chukua dose ya mchana.
So interchanges mbili na flyover moja ndio unapigia kelele?😂😂Tumejenga interchanges and flyovers and still we are building more flyovers ila kwa sasa we dont have any justification for an elevated expressway.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
How can a highway be a white elephant project 🤣🤣
Tsh22b is pale shadow of Ksh30b we used in compensation.
Hizo no trilioni ngapi pesa za madafu huko kwenu?
Look at this fool🤣🤣🤣🤣Dar es salaam kuna barabara nyingi za kutoka na kuingia mjini hivyo elevated expressway sio requirement yetu kwa sasa unlike Nairobi you only have Mombasa road ndio main artery yenu ya kutoka na kuingia mjini.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Noma kakaUnaweza kuniletea eneo la makazi ya watu Nairobi lenye miti mingi kwa ukubwa huu kama hii neighborhood ya Dar?


Nin kinakupa ujasiri kuponda kituo ambacho kipo pembeni ya mji ikiwa nyiny mlishindwa hta kujenga hicho kdogo kwaajil ya watu wa pembezon mwa jiji

Unafikiri ni kila gari inasimama kila kituo? Kwenye terminus unaboard bus kuendana na stations zake, usifikiri kisa ni destination moja bas any intermediate station will be allowed to drop and pick, nope hii ni system na ndio maana imewashinda 😅😅😅Your BRT is not an expressway cause of the stations placed 200 meters apart. Gari inamove kidogo alafu inasimama tena. So what kind of expressway is that?
Where are the damn cars?!!I understand your pain. Anyway, chukua dose ya mchana.
View attachment 2231761
View attachment 2231762
HAwa hawana akili, wanataka hata sehemu yenye population ya watu 10,000 kijengwe kituo kikuuuubwa!Nin kinakupa ujasiri kuponda kituo ambacho kipo pembeni ya mji ikiwa nyiny mlishindwa hta kujenga hicho kdogo kwaajil ya watu wa pembezon mwa jiji
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Niliona mkiandamana ughaibuni kupinga huu mradi...Wakenya mnawashwa sana na mambo yasiowahusu