Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona mnaendelea kupunguza polepole from 27 to 11 to 8km, by the Time tunafika next year itakuwa 1km sio?
Alafu acha kujikaza sana, Dar hamna expressway, don't copy paste ati sasa kwa sababu Nairobi imejenga expressway mnataka kulazimisha njia zenu ziwe expressway pia, The best 007 ameshinda hapa akisema kimara kibaha ni expressway leo unasema brt project yenu ni expressway 😅 kwani ni kubatiza tu njia? Pia sisi tunazo njia zingine ila sio za expressway 😅
Hii inaonyessa jinsi wanavyoumia ndani ya roho 😂
 
Naona mnaendelea kupunguza polepole from 27 to 11 to 8km, by the Time tunafika next year itakuwa 1km sio?
Alafu acha kujikaza sana, Dar hamna expressway, don't copy paste ati sasa kwa sababu Nairobi imejenga expressway mnataka kulazimisha njia zenu ziwe expressway pia, The best 007 ameshinda hapa akisema kimara kibaha ni expressway leo unasema brt project yenu ni expressway [emoji28] kwani ni kubatiza tu njia? Pia sisi tunazo njia zingine ila sio za expressway [emoji28]
Tanzanians are fools
 
BRT is an abbreviation for Bus Rapid (alias express) Transport!
BRT sio lazima iwe expressway. Inategemea na mfumo wa BRT unaotumika. Express BRT ni pale ambapo mabasi yana right of way katika junctions. Yaani ikiwa inabidi magari mengine yasimame ili kupisha mabasi ya BRT basi hio ni express lakini ikiwa mabasi ya BRT hayana right of way katika junctions basi hio BRT sio expressway. BRT ya Tanzania sijui inatumia mfumo upi lakini ikiwa mabasi ya BRT yana right of way katika junctions, basi ni expressway
 

Wamenyimwa mkopo🤣🤣


db.JPG
 
BRT is an abbreviation for Bus Rapid (alias express) Transport!
BRT sio lazima iwe express. Inategemea na mfumo wa BRT unaotumika. Express BRT ni pale ambapo mabasi yana right of way katika junctions. Yaani ikiwa inabidi magari mengine yasimame ili kupisha mabasi ya BRT basi hio ni express lakini ikiwa mabasi ya BRT hayana right of way katika junctions basi hio BRT sio expressway. BRT ya Tanzania sijui inatumia mfumo upi lakini ikiwa mabasi yana right of way katika junctions, basi ni expressway
 
Back
Top Bottom