7seven
JF-Expert Member
- Mar 27, 2022
- 3,744
- 8,066
Bagamoyo upo katika mazungumzo na wamefikia pazuri tu, hiyo expansion ya dar port na LNG figures zako zinasomaje, ziweke hapa.Mbona mkose cha kusema wakati mwenzenu anataja hadi Bagamoyo port iliyoshakula vumbi kitambo?! Then the value of most of the projects sio za kweli. Mfano ni Dar port expansion na LNG