Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,118
- 17,848
Heri sisi there's some progress going on. Nyinyi Kigamboni city ilibaki kuwa render[emoji1787][emoji1787][emoji1787] garangati ,
Heri sisi there's some progress going on. Nyinyi Kigamboni city ilibaki kuwa render[emoji1787][emoji1787][emoji1787] garangati ,
Kuona ni kuamini, we linganisha tu mwenyewe, tumia common sense tu .. mimi sihangaikagi na makaratasi mimiWhat's the value of those projects happening in Dodoma? I would appreciate if you include a link to your information
Tatizo siyo kufanyika tatizo ni mahesabu ya uchumi .....project per time , kama mradi wa kukamilika kwa mwaka mmoja ukachukua miaka kumi hiyo ni stupid development and stupid economicKwa kauli yake amesema watu walitegemea miradi itakufa lakini yote inafanyika. Amesema hivyo jana. Bado muda upo yote yanawezekana.Tusubiri tuone wengine hatupo karibu na miradi mkuu.
Heb leta hiyo tatu City nicheke hapa 😂😂😂Dodoma can't even compete Tatu City.
Mlianza kujenga sgr mwaka moja iliyopita? 😂 😂 😂SGR haijakwama iko under construction, sasa ulitaka iishe kwa mwaka mmoja. Ni ujenzi wa boxes nini ndg?
Matokeo chanya ya elimu bora kwenye vyuo vyetu,je watapewa support na serikali?
Sisi tunaweza leta picha za Tatu city nyingi sana. Wewe hebu leta picha ya Kigamboni city hata moja tuone 😂 😂Heb leta hiyo tatu City nicheke hapa 😂😂😂
Hii footbridge nayo ni mabati kweli. Hapa I'm appreciating you for being honest.Mwanza mabatini .. road signs za hivi👇zipo nyingi sana katikatika barabara ya Mwanza-Musoma nilifanikiwa kupiga picha hizi mbili.. we kalio dyfre njoo ujifunze vile Mwanza inakaaView attachment 2230911nationalView attachment 2230917View attachment 2230922mabatini footbridge 👇View attachment 2230925
Hata sielewi hizo figures amezitoa wapi, karibia zote zina upungufu.Msikieni huyu mbwa, eti SGR ni $1.9bn, ingekuwa hivyo c kila nchi duniani ingekuwa na electrifitried SGR[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
By the way SGR phase 2 underway 👇 . No more talkMlianza kujenga sgr mwaka moja iliyopita? 😂 😂 😂
Kojoa ulale kaka
Gongo la mboto 😂Nairobi chafu, au unataka picha? Niambie nikuwekee picha ya wapi.
Sio dodoma tena ni Kigamboni unataka.? 😂😂Sisi tunaweza leta picha za Tatu city nyingi sana. Wewe hebu leta picha ya Kigamboni city hata moja tuone 😂 😂
Kigamboni inajengeka ni hatari ila sijui kama tunatumia ile ramani ya kifisadi ...ila ukweli ni kwamba kigamboni inaendelea vizuriHeri sisi there's some progress going on. Nyinyi Kigamboni city ilibaki kuwa render
Hiyo ni chuma dadaanguHii footbridge nayo ni mabati kweli. Hapa I'm appreciating you for being honest.
Ya kwenu ilianza lini na imefika wapi, ilikuwa km ngapi? Na ya kwetu ni km ngapi?Mlianza kujenga sgr mwaka moja iliyopita? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kojoa ulale kaka
Hapa nimekusoma mkuu,nguvu zinahitajika za ufuatiliaji na kupush mambo yaende inavyotakiwa.Tatizo siyo kufanyika tatizo ni mahesabu ya uchumi .....project per time , kama mradi wa kukamilika kwa mwaka mmoja ukachukua miaka kumi hiyo ni stupid development and stupid economic
Yani siku zote yupo humu ndani na hajui gharama ya sgr tz kweli kusoma mzigoMsikieni huyu mbwa, eti SGR ni $1.9bn, ingekuwa hivyo c kila nchi duniani ingekuwa na electrifitried SGR[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Atakujibu nini sasa 😂😂Ya kwenu ilianza lini na imefika wapi, ilikuwa km ngapi? Na ya kwetu ni km ngapi?
Ipi inaendelea na ipi imekwama.
Silali kwanza mpaka unijibu ndg [emoji41][emoji41]