Hakuna fact ulinipa hata moja. Most of the projects you sharedhere I have disected them and gave out their near-true figures, far cry from what you posted
As I'm talking right now there are 30 small rise buildings (6-11 storeys buildings) under construction in the upcoming city of which we call it Magufuli City (gov city) roads, electricity, sew, and all that.. it's from the scratch, we unanionyesha kagorofa kamoja haka 😂😂 claiming that the project is expensive than ours .. ar you crazy.? Heb onja ladha kidogo 👇 vile expensive projects hukaaView attachment 2230980View attachment 2230990View attachment 2230991View attachment 2230992
ichoboy01 sioni mkishinda hii vita. Hii ni $40 billion inakwenda Ukraine. Hii ni nusu ya gdp ya Tanzania inakwenda Ukraine kupigana vita. Marekani imeamua kutumia rasilimali yao yote kusaidia Ukraine. Tayari USA imeshatumia zaidi ya $10 billion kwenye hii vita. Sasa ongezea $40 billion kwa hio $10 billion. Mimi naona Putin alifanya ujinga kuinvade Ukraine.
joto la jiwe wewe jamaa unayependa kulia lia hapa kwamba Tanzania imeikomboa Afrika, mfahamu Mkenya kwa jina Professor Washington Okumu aliyeleta pande mbili pamoja na kuwezesha uchanguzi wa South Africa wa 1994 kufanyika. Mangosuthu Buthelezi, kiongozi wa watu wa kabila la Zulu alikuwa amekataa kushiriki katika uchaguzi wa 1994 na chama cha ANC kikiongozwa na Nelson Mandela walishindwa kumbembeleza huyu jamaa kushiriki uchaguzi hadi huyu Mkenya alipokuja na kumshawishi Buthelezi kushiriki katika uchaguzi wa 1994.
Washington Aggrey Jalang'o Okumu (21 February 1936 – 1 November 2016) was a Kenyan diplomat, politician, academic and author, who rose to fame as the mediator that convinced the Inkatha Freedom Party's leader, Mangosuthu Buthelezi, to be part of South Africa's democratic elections in 1994, thereby ensuring a peaceful transition for South Africa's politics.[1] He is also the author of two books: 'Lumumba's Congo: Roots of Conflict' published in 1962 and 'The African Renaissance: History, Significance and Strategy' published in 2002.
Okumu was born on the 21st of February 1936 in Siaya county, Kenya, to Joram Okumu and Miriam Okello. His father worked as a health inspector at the time.[2]
Okumu's education was mainly in Maseno's mission schools, but he also attended Ngiya Primary School, where he was classmates with Barack Obama Sr., father to the former U.S President Barack Obama. After his father's death in 1951, politician Jaramogi Oginga Odingapromised to take care of his education.[2] In 1956, Okumu completed his high school education, attaining the Cambridge University Overseas School Certificate. On the recommendation of the late Tom Mboya, Okumu was selected to be part of 'The Kennedy Airlift', a program aimed at providing education for young and bright East Africans.[3] Okumu attended Iowa Wesleyan University in Mount Pleasant. In 1959, he enrolled for the International Student Relations Seminar (ISRS), a summer programme at Harvard University in Cambridge, Massachusetts.[2] Okumu received his Bachelor of Arts degree from Harvard in 1962. He also studied economics at the University of Cambridge under the Commonwealth Scholarship and Fellowship Plan.[1]
Okumu is credited as the one responsible for convincing the Zulu leader, Mangosuthu Buthelezi, to drop his demands for an independent Zulu nation and take part in South Africa's democratic elections in 1994. This was after a team of international mediators, whom Okumu had accompanied as special adviser, had tried and failed to convince Buthelezi.[5] This is said to have helped the country avoid bloodshed and conduct peaceful elections.[6]
Mwenzako alitaja Bagamoyo that's why. Sgr siitaji coz ours is operational na cost yake ilikuwa juu kuliko what you've already spent so far on your sgr ambayo bado umekwama vichakani
Unapoambiwa diesel SGR ya Kunyaland ilikuwa ni ya gharama kuliko ya Tz hawamaanishi the whole project bali wanamaanisha price/km, ss piga hesabu electrifitried SGR ya Tz ni zaidi ya mara nne ya diesel SGR ya Kunyaland kwa urefu, je mnaikaribia?
Bongolala we were discussing Kigamboni city but you decided to post pictures of Avic instead thinking I wouldn't notice but you were wrong.
Eti naogopa Avic???[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] how interesting! Nairobi is the mother of gated commuties sasa niogope hiko estate cha acre moj! Avic inaingia ndani ya Nyayo estate, mara kadhaa hadi ubakishe change.
Have you seen Edenville?
Have you seen Bahati Ridge?
Have you seen Greenpark?
Have you seen Amara Ridge?
Lastly, there's nothing new about Avic. Picha za Avic have been shared here since day one and that's why it was so easy for me to notice it's Avic and not Kigamboni city so take a chill pill [emoji381]
How do you compare Dodoma with Konza? Konza ni mji/jiji linazaliwa upya from scratch wakati Dodoma imekuwepo kabla ya Tanganyika kuungana na Zanzibar na kuunda nchi!! Are you insane?
Kigamboni kulijengwa the largest apartment project bigger than the total number of all apartments in kunyaland, zitakua resumed anytime sababu NSSF wapo kwenye vikao
[emoji23][emoji23] danganyika hakuna na hakutawahi kua na elevated road. Hii inaitwa bichi kidimbwi a.k.a kilima au interchange not elevated expressway
Ina tofauti gani na BRT system ambayo ni express way for public transport?
Sasa linganisha context ya kiExpressway Chenu cha kilometers 8 na BRT lanes across the whole biggest city of EA extended up to the neighboring regions like Pwani ujione ulivyo zumbukuku kulinganisha kifo na usingizi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.