Arnold254
JF-Expert Member
- Apr 13, 2018
- 4,078
- 2,673
Kisumu ni Moto ya kuotea Mbali. Hawazi jaribu kuleta ubishi [emoji23].hahaha[emoji38] .. mbona hapa ni maharashtra, india sana mzee. niliwaambia bongo nyinyi hamuna road signature za nguvu, mkaleta ubishi
View attachment 2230493
nilimwabia gezaulole alete ata moja ka hizi za Ahero-kisii junction, ali gwaya na kisha kucheza chini ya waba View attachment 2230496View attachment 2230501View attachment 2230507
Kisumu[emoji1541][emoji1541]