Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bashe yuko vizuri kwenye kilimo..naombea akae zaid ya miaka 10 or 20 kwenye hii wizara kwa mentality au consistency yake hiohio..apewe full support na kila atakaekuwa boss wake (Rais)
Mm huyu mwamba tangu alivyokua mbunge na mkubali sana, yani kati ya mawaziri wote wa awamu ya 6 huyu tuu Ndio mpigaji kazi hao wengine ni wazee wa mapambio tuu , tungekuwa na waziri wengine kama huyu wawili tuu kwenye wizara ya fedha na wizara Nishati au madini ningekua sina waswas
 
Uvumbuzi wenye tija 👇

Screenshot_20220519-190844.png
 
Tunajua humu ndani kila m1 anapenda barabara sio tu kwasababu tunamiliki magari ila Faida zake kwa ujumla zinafahamika....lakini Mradi wa barabara kutoka Tabora hadi katavi 342km wala watu haujawashtua(WaTanzania)...kuna watu wanashtuka sana na stretch ya 28km ambapo only 8.9km ndio ipo elevated
 
Tunajua humu ndani kila m1 anapenda barabara sio tu kwasababu tunamiliki magari ila Faida zake kwa ujumla zinafahamika....lakini Mradi wa barabara kutoka Tabora hadi katavi 342km wala watu haujawashtua(WaTanzania)...kuna watu wanashtuka sana na stretch ya 28km ambapo only 8.9km ndio ipo elevated
Kwa wakenya elevated section in their few roads means high level of development 😂😂😂
 
Shida ni kwamba hawataki kuamini kwamba phases nyingine ziko kwa construction, hii habari inawachoma mno.Wanajipa matumaini hewa kwamba haiko.
BRT PHASE 2 INGETUTOA KWELI KAMA INGEKAMILIKA NDANI YA HUU MWAKA SEMA HUYU MAMA ANATUANGUSHA ,KASHINDWA KUBUNI MIRADI MIPYA , kutokuwepo kwa miradi mipya tulitegemea kungeongeza kasi ya hii miradi iliyopo [emoji849] kinyume chake ...no new project na miradi ya zamani imebuma.
 
Hawa wakola mwanzo si walipigwa ban na FIFA..hii ni nn tena [emoji1787] ban ya pili au nn
Hao wamefungiwa maisha kujihusisha na soka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Weka hiyo miradi ya konza yenye inafika hata robo of what going on in DODOMA
bongolala, nishakuambia Dodoma imekuwepo kabla ya Tanganyika kupata uhuru. Konza inajengwa from scratch and at the moment the focus is on building horizontal infrastructure ie roads, sewer systems, water system, network cables etc.
images - 2022-05-19T215736.314.jpeg
images - 2022-05-19T215509.116.jpeg
images - 2022-05-19T215446.390.jpeg
images - 2022-05-19T220512.638.jpeg
images - 2022-05-19T220236.641.jpeg
images - 2022-05-19T220158.591.jpeg
images - 2022-05-19T220300.965.jpeg
images - 2022-05-19T215343.307.jpeg
images - 2022-05-19T215407.290.jpeg
images - 2022-05-19T220414.468.jpeg
 
You could have done better by giving links to ascertain the cost of these "projects"

And why are you even mentioning Bagamoyo port while we all know it's non-existing. Ama tuletee picha za ujenzi tuone.

The value of Dodoma development doesn't even come close to Konza City ($14.5b)

Julius Nyerere Hydropower is $2.9b not $3.2

The cost of your sgr is $1.9b, not $14.7b

LNG is $30b, not $40b and it's still in limbo

Hayo mengine ni vihoja. What is air Tanzania "modernization"? How is an airline modernized? If you meant expansion, then it's a paltry $726m project, not $2b Air Tanzania Buys 4 New Boeing Planes at USD 726 Million.

The cost of expanding and mordenizing Dar port is $421m, not $1b as you allude here Tanzania announces $421m project to strengthen Port of Dar es Salaam infrastructure

Tanga port is pale shadow of our second port, Lamu both in cost and economic importance, so don't even mention it here. The value of Tanga port, Karema port and Mtwara ports combined bado haifikii ya Lamu alone!

Dar-Chalinze expressway is a project still on paper. Not even a single layer of soil has been moved so I don't understand why you mentioned it.

Have a good evening bongolala
Msikieni huyu mbwa, eti SGR ni $1.9bn, ingekuwa hivyo c kila nchi duniani ingekuwa na electrifitried SGR[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
bongolala, nishakuambia Dodoma imekuwepo kabla ya Tanganyika kupata uhuru. Konza inajengwa from scratch and at the moment the focus is on building horizontal infrastructure ie roads, sewer systems, water system, network cables etc. View attachment 2230926View attachment 2230930View attachment 2230931View attachment 2230939View attachment 2230941View attachment 2230943View attachment 2230944View attachment 2230946View attachment 2230948View attachment 2230950
Hapa umeonyesha nini sasa we mbwa.?
 
nimeenda Nai zaidi ya mara 20 kuna jengo moja tu refu na limechoka. hakuna flyovers kama Dar na watu wengi ni maskini sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ni mda muafaka sasa Rais atafute watu wengine kwenye wizara ya Uvuvi na Mifugo,zile ni wizara zilitakiwa kuleta pesa Nchini ila zimekosa watu wenye brain power...

Huwezi kuingiza pesa nyingi kwenye wizara hizo wakati hakuna watu sahihi wa kuleta mabadiliko..

Rais ateue watu wapya kutoka Private sector waje kuleta Mapinduzi..Kuzurula na Mang'ombe huku na huko yakiharibu mazingira sio sawa,huu sio ufugaji.

Sio mimi ni Lipumba kasema [emoji116]

View attachment 2230913
Tumia akili hapo wapinzani wanamuuza huyu zuzu sa100 maana wanajua kuwa akigombea yeye ndiyo mungu bariki kwao kufufuka kwa kuwa watz awamtaki huyo zuzu Zelensky wa africa hivyo watachagua wapinzani kwenye uchaguzi .......ila ukweli ni kwamba mama tayari kakata tamaa 2025 siyo rahisi kuthubutu kugombea .
 
Back
Top Bottom