Hawa wakola mwanzo si walipigwa ban na FIFA..hii ni nn tena 🤣 ban ya pili au nn
Eiii. Did I just missed something? Please mention the name of that modern production system.Jengeni magorofa sisi tunajenga modern production systems kukikucha ndio mtajua kumbe mlilala bila shuka [emoji3]
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Umeona wamama wakibeba vikapu za samaki Kwa kichwa wakivalia maleso hapo Kwa street za Kenya kama huko kwenu Dar?Mim video zozote zinatoka kenya huwa naangalia mazingira ya pemben mfano watu walivyo/walivyoovaa na magari yanayopita..hakuna siku nimepata uhalisia wa GDP yao na ninachoona kwenye hayo mazingira au hata magari yanayopita..
nimeenda Nai zaidi ya mara 20 kuna jengo moja tu refu na limechoka. hakuna flyovers kama Dar na watu wengi ni maskini sanaNtarudi hapaa, but for my little uzoefu na opinion Nai is far better than Jiji letu la makonda.
Lappset is 20 billion dollars, Konza city is 15 billion dollars, Tatu city is 2 billion dollars.Weka project yoyote yenye value zaidi ya USD1bn tuone.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Which hole did you come from?nimeenda Nai zaidi ya mara 20 kuna jengo moja tu refu na limechoka. hakuna flyovers kama Dar na watu wengi ni maskini sana
It is better you ask for explanation rather than portraying your ignorance here. Air Tanzania hiyo figure uliyoweka ni new order ya ndege ambazo hazijafika ukijumlisha na ambazo tumeshanunua figure ni USD 2bnYou could have done better by giving links to ascertain the cost of these "projects"
And why are you even mentioning Bagamoyo port while we all know it's non-existing. Ama tuletee picha za ujenzi tuone.
The value of Dodoma development doesn't even come close to Konza City ($14.5b)
![]()
Kenya's Konza Techno City: Is the project well planned? - Tomorrow.City - The biggest platform about urban innovation
Back in 2008, the Kenyan Government announced to the world its intention to build the Konza Technology City, a smart city also known as Silicon Savannah, which was officially going to be the key feature of Kenya Vision 2030, the ambitious national project to modernize the country. But things...tomorrow.city
Julius Nyerere Hydropower is $2.9b not $3.2
The cost of your sgr is $1.9b, not $14.7b
![]()
Tanzania’s SGR set to start operations end of April
The Dar es Salaam-Morogoro Phase 1 is ready for operations while the Morogoro-Dodoma stretch is almost complete.www.google.com
LNG is $30b, not $40b and it's still in limbo
Hayo mengine ni vihoja. What is air Tanzania "modernization"? How is an airline modernized? If you meant expansion, then it's a paltry $726m project, not $2b Air Tanzania Buys 4 New Boeing Planes at USD 726 Million.
The cost of expanding and mordenizing Dar port is $421m, not $1b as you allude here Tanzania announces $421m project to strengthen Port of Dar es Salaam infrastructure
Tanga port is pale shadow of our second port, Lamu both in cost and economic importance, so don't even mention it here. The value of Tanga port, Karema port and Mtwara ports combined bado haifikii ya Lamu alone!
Dar-Chalinze expressway is a project still on paper. Not even a single layer of soil has been moved so I don't understand why you mentioned it.
Have a good evening bongolala
Konza City is $14.5b 😂 😂Weka project yoyote yenye value zaidi ya USD1bn tuone.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kuna mtu hapa ametuambia eti wanafanya big projects sisi hatuna any other big project after expressway. Anyway sisi hatuna kelele yet we are building three cities at a go.
Kill it before it lay eggs. 🤣 🤣 🤣Which hole did you come from?
Kama terminology ya ku modernise airline inakupiga chenga tuta discuss nini between us. Wewe endelea tuu na mitungi ya changaa inayoruka.You could have done better by giving links to ascertain the cost of these "projects"
And why are you even mentioning Bagamoyo port while we all know it's non-existing. Ama tuletee picha za ujenzi tuone.
The value of Dodoma development doesn't even come close to Konza City ($14.5b)
![]()
Kenya's Konza Techno City: Is the project well planned? - Tomorrow.City - The biggest platform about urban innovation
Back in 2008, the Kenyan Government announced to the world its intention to build the Konza Technology City, a smart city also known as Silicon Savannah, which was officially going to be the key feature of Kenya Vision 2030, the ambitious national project to modernize the country. But things...tomorrow.city
Julius Nyerere Hydropower is $2.9b not $3.2
The cost of your sgr is $1.9b, not $14.7b
![]()
Tanzania’s SGR set to start operations end of April
The Dar es Salaam-Morogoro Phase 1 is ready for operations while the Morogoro-Dodoma stretch is almost complete.www.google.com
LNG is $30b, not $40b and it's still in limbo
Hayo mengine ni vihoja. What is air Tanzania "modernization"? How is an airline modernized? If you meant expansion, then it's a paltry $726m project, not $2b Air Tanzania Buys 4 New Boeing Planes at USD 726 Million.
The cost of expanding and mordenizing Dar port is $421m, not $1b as you allude here Tanzania announces $421m project to strengthen Port of Dar es Salaam infrastructure
Tanga port is pale shadow of our second port, Lamu both in cost and economic importance, so don't even mention it here. The value of Tanga port, Karema port and Mtwara ports combined bado haifikii ya Lamu alone!
Dar-Chalinze expressway is a project still on paper. Not even a single layer of soil has been moved so I don't understand why you mentioned it.
Have a good evening bongolala
Huyo alienda Nairobi ya MwananyamalaWhich hole did you come from?
Wacha kubweka bure hapa weka project za over 1bn USD tuanze kazi hatutaki project ndogo ndogo zinamaliza nafasi tuu humu.Hawa vilaza think we get excited about every little project that's happening in our country like they do. Tukianza kupost all the projects taking place on this country they'll just run mad!
Nimeshakuambia you better concentrate on what you know best hii sio centrifuge au biosafety cabinet.Eiii. Did I just missed something? Please mention the name of that modern production system.
Kwa upumbavu wa huyu mama inawezekana kupost vitu feki kumsifia kwa sababu mama ni bidhaa mbovuHata wenzenu wamekataa, [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] me mukinionyesha that blue signage nitafunga hii account.
So kwa hiyo list yangu yote umeona tu uguze vitu viwili ambazo zinakupa upesi?! 😂 😂It is better you ask for explanation rather than portraying your ignorance here. Air Tanzania hiyo figure uliyoweka ni new order ya ndege ambazo hazijafika ukijumlisha na ambazo tumeshanunua figure ni USD 2bn
On SGR we are building from Dar to Mwanza and Kigoma so figure yako uchwara ya USD 1.9bm kaa nayo ujifariji.
Dodoma is heavily under construction unlike Konza city a project of less than USD 5bn mnashindwa ku implement miaka nenda rudi.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] zimeisha?Lappset is 20 billion dollars, Konza city is 15 billion dollars, Tatu city is 2 billion dollars.
Acha uongo Konza ni 595bn KES and still limpingKonza City is $14.5b [emoji23] [emoji23]
Cheki mdanganyika, You cannot tell me what I can say or not say hapa jf.Hivi jamaa Magufuli alikukosea nini mbona kila siku ni kumtaja taja tu huoni wenzako hata hawamzungumzii?
Ulikuwa unakomaa alikufia...alikufia....watu wakakupuuza sasa hivi umeona utafute utoke vipi, umeanza tena.
Mpumzishe basi marehemu apumzike kama wastaafu wenu ambao wamelala na huwa hatuwasemi. Kumsema marehemu ni kupungukiwa hekima kwasababu hasikii na hawezi kujitetea.