Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So sgr ni $1.9b?and uko hapa unajiita msomi, tunafanya 4phases kwa sasa...phase ya kwanza $1.2b ,95+ complete, ya pili $1.9$ 80s+ complete ya tatu Makutopora Tabora $1.9b ya nne Isaka mwanza $1.32b
Sasa ni wivu ama kitu gani kinakusumbua...Do the math kwa sasa tunapambana na kazi ya $8.22B hiyo ni SGR pekee yake
Bagamoyo port nayo mradi imefika wapi?

SGR yenu inafunikwa na mradi wa Lapsset kwa value
 
You could have done better by giving links to ascertain the cost of these "projects"

And why are you even mentioning Bagamoyo port while we all know it's non-existing. Ama tuletee picha za ujenzi tuone.

The value of Dodoma development doesn't even come close to Konza City ($14.5b)

Julius Nyerere Hydropower is $2.9b not $3.2

The cost of your sgr is $1.9b, not $14.7b

LNG is $30b, not $40b and it's still in limbo

Hayo mengine ni vihoja. What is air Tanzania "modernization"? How is an airline modernized? If you meant expansion, then it's a paltry $726m project, not $2b Air Tanzania Buys 4 New Boeing Planes at USD 726 Million.

The cost of expanding and mordenizing Dar port is $421m, not $1b as you allude here Tanzania announces $421m project to strengthen Port of Dar es Salaam infrastructure

Tanga port is pale shadow of our second port, Lamu both in cost and economic importance, so don't even mention it here. The value of Tanga port, Karema port and Mtwara ports combined bado haifikii ya Lamu alone!

Dar-Chalinze expressway is a project still on paper. Not even a single layer of soil has been moved so I don't understand why you mentioned it.

Have a good evening bongolala
Ila we jamaa bhana 😂😂😂
 
Wakati mwingine unakosa cha kuandika unabaki unacheka tu [emoji2][emoji2][emoji2]
Mbona mkose cha kusema wakati mwenzenu anataja hadi Bagamoyo port iliyoshakula vumbi kitambo?! Then the value of most of the projects sio za kweli. Mfano ni Dar port expansion na LNG
 
Bashe yuko vizuri kwenye kilimo..naombea akae zaid ya miaka 10 or 20 kwenye hii wizara kwa mentality au consistency yake hiohio..apewe full support na kila atakaekuwa boss wake (Rais)
Tatizo sio Waziri,tatizo ni pesa na Sasa Rais ameamua kutoa pesa na kukigeuza kilimo..

Alianzaga JK na kilimo kwanza kwa kuvuta investors kwenye Kilimo kikubwa Mwendazake akavuruga sasa tunarudi kwa kishindo bila porojo porojo..

Sio tuu Kilimo bali Hata Elimu inaenda kufumuliwa upya..

Serikali ya Samia imeamua kuwaamini watu wenye uwezo,kuwapa nafasi na kuwawezesha kwa fedha, bahati nzuri Serikali ya Sasa haina tatizo la pesa kama hapo awali..

Come 2025, Tanzania itakuwa nyingine kabisaa 🙏🙏

Screenshot_20220517-091648.png
 
Acha ufala wewe kichaa, hapo konza kuna nini cha kulinganisha na DODOMA.? Au unataka uone what's going on in Dom.?
How do you compare Dodoma with Konza? Konza ni mji/jiji linazaliwa upya from scratch wakati Dodoma imekuwepo kabla ya Tanganyika kuungana na Zanzibar na kuunda nchi!! Are you insane?
 
Planners kutoka United Kingdom wamekamilisha kazi ya kuchora ramani na plans za railway city na kuzindua plans hizo leo baada ya miaka miwili ya kufanya planning. Railway city itakuwa a city inside a city. Kuna ardhi katikati mwa Nairobi ya 400 acres inayomilikiwa na Kenya railways ambayo ni idle. Sasa hii ardhi badala ya kuwa idle, serikali ya Kenya iliamua kuwahusisha wataalam wa city planning kutoka UK wachore masterplan ya city within a city. Hii city itajitosheleza kwenye kila kitu. Tayari Kenya ina Tatu city na Konza city.

Naangalia citizen TV wanasema its a PPP na I will cost 30bn ksh
 
How do you compare Dodoma with Konza? Konza ni mji/jiji linazaliwa upya from scratch wakati Dodoma imekuwepo kabla ya Tanganyika kuungana na Zanzibar na kuunda nchi!! Are you insane?
We matako, hapa tunazungumzia existence au tunazungumzia thamani ya miradi inayofanyika currently.? Luckily miradi ya Dom ilianza 2017 while konza ilianza since 2008
 
Ni mda muafaka sasa Rais atafute watu wengine kwenye wizara ya Uvuvi na Mifugo,zile ni wizara zilitakiwa kuleta pesa Nchini ila zimekosa watu wenye brain power...

Huwezi kuingiza pesa nyingi kwenye wizara hizo wakati hakuna watu sahihi wa kuleta mabadiliko..

Rais ateue watu wapya kutoka Private sector waje kuleta Mapinduzi..Kuzurula na Mang'ombe huku na huko yakiharibu mazingira sio sawa,huu sio ufugaji.

Sio mimi ni Lipumba kasema 👇

Screenshot_20220519-203642.png
 
Back
Top Bottom