Kijitonyama ni cbd huko kwenu?So leo upperhill hamuiiti CBD [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Labda hatujaelewana, mimi ninazungumzia ujenzi wa km 350 za barabara kwa kiwango cha lami Tabora njia ya kuelekea mkoa wa Katavi.CCM imezoea kuwafeed propaganda hadi huwezi tumia akili yako kutofautisha hizo picha.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwan mnavyosemaga mna cbd zaidi ya moja huwa mnamaanisha nn?[emoji23]Kijitonyama ni cbd huko kwenu?
Swali ni moja atakujibu kwa haya nzima na picha na articles za kutosha. [emoji16][emoji16]Kwan mnavyosemaga mna cbd zaidi ya moja huwa mnamaanisha nn?[emoji23]
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Hahah.. atajifanya hajaona[emoji3]Swali ni moja atakujibu kwa haya nzima na picha na articles za kutosha. [emoji16][emoji16]
Subiri aje na Kiingereza kiingi [emoji4][emoji4]
hahaha😆 .. mbona hapa ni maharashtra, india sana mzee. niliwaambia bongo nyinyi hamuna road signature za nguvu, mkaleta ubishiNi kapuuzi aka katoto kanadhani sisi huwa tunapika data kama wao.
Unaedit mpaka unavunja chuma[emoji28]hahaha[emoji38] .. mbona hapa ni maharashtra, india sana mzee. niliwaambia bongo nyinyi hamuna road signature za nguvu, mkaleta ubishi
View attachment 2230493
nilimwabia gezaulole alete ata moja ka hii ya Ahero-kisii junction, aka gwaya na aka kucheza chini ya waba View attachment 2230496
Hao wapuuzi maendeleo yote wameelekeza nairobi,so wa usishangae akibisha barabara kama hiyo kuwepo tabora more than 500 km kutokea darKwahiyo Rais alivyokwenda kuzindua hii barabara alidanganya au alivyafanya hivyo ili tuziweke humu ndani kwa ajili ya battle.
Nyinyi Tanzania hamuijui vizuri. Eti haiwezi patikana anywhere in that Tabora village. Muwe mnafuatilia hata matukio kwa tv, alikuwa live juzi. Dogo acha kujiaibisha unabisha vitu usivyovijua.
Daily dosage.
View attachment 2230206
View attachment 2230207
View attachment 2230208
View attachment 2230209
View attachment 2230210
View attachment 2230211
View attachment 2230212
View attachment 2230213
View attachment 2230214
View attachment 2230215
View attachment 2230216
View attachment 2230217
View attachment 2230218
View attachment 2230219
View attachment 2230220
View attachment 2230221
View attachment 2230222
View attachment 2230223
View attachment 2230224
View attachment 2230225
Kwani gdp manayake nn?...Tafadhali #Tuusan...naomba uangalie uniambie hawa jamaa wanakitu gani hasa cha hata kuitikisa Dar, mana kuna kipindi uliwamini mnooo, cha kunifraisha huu mji ndio uko na GDP kubwaa kuliko DISSIM[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]my ribs
From: Dar es Salaam, To: TaboraHao wapuuzi maendeleo yote wameelekeza nairobi,so wa usishangae akibisha barabara kama hiyo kuwepo tabora more than 500 km kutokea dar
Ahsante mkuu,ndio maana nikaandika zaidi ya km 500From: Dar es Salaam, To: Tabora
13 hr 22 min (825,4 km)