Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Embu tuwaoneshe hawa wakulungwa jinsi matangazo ya LED kwenye viwanja vya Tanzania yalivyo.[emoji16]



Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hiyo gharama ya LED tu unapata viwanja viwili vya Kenya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Screenshot_20220519-082035.jpg
 
Hivi kuna mtaa hapo Tanzania unaoweza kufikia Westlands?[emoji1787][emoji1787]
Niton Green ndio nini? Mimi najua Lavington green na pia hapo Tanzania hakuna mtaa unaoweza fikia Lavington green kwa ubora. Kama ni majina ya kiafrika tunayo Kileleshwa, Muthaiga, Loresho, Nyari, Gigiri, Thigiri, Muthangari, Kyuna, Kilimani, Milimani, Riara n.k ambazo hakuna mtaa hapo Dar unaoweza kuzifikia.
Wenzako walisema watakuja dar kuonyesha slum mpaka saahii hakuna hata mmoja kaweza wewe ujiulizi kwanini, nyinyi mna kota ....mitaa yenu ni kama mitaa yetu ya kota za majeshi ni nyumba zimefanana
 
Umeulizwa wako wapi hao 5,553 wamekufa au? Wewe unaleta ucartoon kama kawaida.
Kama unabelieve the first report why can't you believe the second one cause both reports were released by the same organization.

Screenshot_20220304-002736.png
 
Back
Top Bottom