Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzania na Uganda watafute pesa wenyewe na WA inject kwenye mradi wa EACOP,kutegemea Hawa vibaraka wa Kunyaland hatufiki..

Watu ni wapumbavu Sana,wapi ambako kutakuwa na displacement of people?

Na hao watu si wanalipwa fidia na kutafutiwa maeneo mengine? Wanakera Sana Hawa mbwa..

Kama kuna wengine wako Tanzania hii wanaojiita NGOs watafute Nchi ya kwenda 👇

 
Why doing research on rummors? Open up that bloody contract and spill the beans [emoji16]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Yaani class 7 candidatesni 400k kww nchi ya more than 60million candidates
That's a abit mess tukikumbuka hiii nchi yao by 2035 watakuwa more than 100m people
Watu hawaendi shule. Poverty is keeping children at home
 
Kaa mbali wacha kujivimbia wakati ww ni accountant , sio mchumi, tena ni accountant unae nishangaza.
Huwa mkisikia kwamba mtu ni mchumi huwa hamtaki kuamini kabisa licha ya evidence inayowekwa. eliakeem, joto la jiwe na sasa wewe Justinr. Nimenotice huwa mnafikiri mchumi ni mungu kumbe ni mtu wa kawaida tu. Hapa Kenya kusomea degree ya uchumi unahitajika kupata grade ya B+ kwenye KCSE ambayo mimi nilipata.
 
I am always flabbergasted by extraordinary efforts made by countless Kenyans in their silly endeavors to represent themselves as Tanzanians across many social platforms.

Let me ask my fellow Kenyans; what's wrong with being Kenyan, are you ashamed of your nationality?
 
Hii video imenichekesha na imenitia huzuni parallel namna hii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣


Mbongo wa kuibiwa kindezi hivi bado hajazaliwa, nimeamini wakenya ni maboya ya mwisho duniani 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂


 
Mzee balance sheet ambayo tunasoma kwa CPA sio balance sheet ya ujinga ambayo ulisoma high school. Unajua consolidated balance sheet ni nini? Kisha balance sheet ya bank ni tofauti na balance sheet ya manufacturing company. Kisha IFRS reporting standard unaijua ni nini? Na IAS reporting standard unaijua ni nini? Haya mambo hamfundishwi high school. Usipayuke hovyo.
Unadhani balance sheet ya maembe ya high school mnayofundishwa na sawa na hii consolidated balance sheet ambayo mimi nalipwa kutengeneza? Unajua ni stress gani mtu hupitia kufanya hili dude libalance? Ukisema nyumba ni liability balance sheet haitabalance 😆😅😂😅 utapoteza muda ukitafuta makosa liko wapi? Ama useme kwamba loan ni asset, balance sheet haitabalance.



Usilinganishe ujinga uliofundishwa high na haya mambo. Consolidated balance sheet ni mambo tofauti na utopolo uliosoma high school. Pia income statement ni tofauti tofauti, kuna ya bank ambayo ni tofauti na ya manufacturing company. Kampuni ninayofanyia kazi inamiliki subsidiaries kwa hivyo inabidi mtu ajue jinsi ya kutengeneza consolidated financial statements ikiwemo consolidated balance sheet, consolidated income statement na consolidated cash flow statements. Hayo mambo huwezi kuyasoma high school wacha ujinga. High school unafanyiwa introduction tu ya cash flow statement ila CPA unaingia ndani kabisa hadi unakuwa mwenyeji.
 
Mim video zozote zinatoka kenya huwa naangalia mazingira ya pemben mfano watu walivyo/walivyoovaa na magari yanayopita..hakuna siku nimepata uhalisia wa GDP yao na ninachoona kwenye hayo mazingira au hata magari yanayopita..
 
NYAMHONGOLO bus terminal Mwanza, 👇ni picha za upande wa mbele tu wala sijaingia ndani.. haya waambie na wao walete NAIROBI green Park, State of art, ultra modern bus terminus 😂😂😂.. Ila mjomba aliipendelea Mwanza bhana 😅(natania), stendi kubwa za mabasi za kisasa mbili at a time, modern airport terminal, daraja la 3km juu ya maji, meli nyingi nyingi, vivuko. Ooh yes Mwanza is the capital of lake zone.. mwamba alikua ana ndoto kubwa sanaaa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…