Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Peleka mavi yako kibera, slang unaijua wewe? Wazee wa "konekshon", "edukashon" na slang wapi na wapi. Mtanzania ukimkuta anaongea kingereza basi ujue anaongea kama mzungu mwenye lugha yake co nyie wazee wa bad accent. Eti unaongea kuhusu slang yn mkunya amfunze mtz slang
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
Dude, this is how i talk on a regular...some random chats
Screenshot_20220518-103123_1.jpg
Screenshot_20220518-105356.png
Screenshot_20220518-105433.png
 
Hongera Tanzania kwa kuexport coal. Nyie muendelee kuinvest kwenye agriculture na mining.
Kuna mbwa wakiona maneno haya wanaumia, walikuwa na kamsemo kao huku wanabana pua "the cargo received by Mombasa port is bigger than cargo received by all ports in Tz combined" [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Na kwa jinsi Dar port ilivyo efficient kwa ss usije kushangaa tukachukua mzigo wote wa cargo wa Mombasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🤣 🤣 🤣Soja vipi. Unadhani mzigo unapimwa na departure and arrival kama abiria. Yani hata by 2025 bado hamuwezi karibia Mombasa port.

 
Yah non current asset kama huitumii ku generate income inageuka liability, mfano gari yako private ni liability au nyumba yako unayoishi mwenyewe pia ni liability kwasababu unatumia pesa kuzihudumia na haziingizi pesa.
Fact.
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]Soja vipi. Unadhani mzigo unapimwa na departure and arrival kama abiria. Yani hata by 2025 bado hamuwezi karibia Mombasa port.

Bado uko past? Najua recent statistics zitawachoma mno ila mtazoea[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hatupendi shule je chakula tunachowaletea mnakula mnashiba mnapata kujaza choo ni matokeo ya uchawi na co shule?

Mnavyojaza hospitali zetu kutafuta tiba co shule ile?

Ajira tunazowapa mpk tunaongoza kuwapa remittance kwa hapa Africa co shule iliyotumika mpk tunawaajiri maelfu ya wakunya?

Sisi ndio the most inclusive economy country in Africa, co shule hapo imetumika?

Tunaongoza kuwa na miradi yenye thamani kubwa na yenye maana zaidi hapa EA co shule imetumika ku plan?

Tunajitosheleza kwa chakula co shule imetumika?

Tumeiba bomba la mafuta kutoka Kenya kulileta Tz co shule imetumika?

Tumeiba shehena ya mizigo kutoka Mombasa port kuja Dar port co shule imetumika?

Tumeua KQ co shule imetumika?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
bongolala, chakula TUNANUNUA kutoka kwenu, we don't get it for free. Chakula tunanunua as far as Mexico and Brazil so nyefnyef zako peleka Tandale

Kama viongozi wenu ndio wanatafuta matibabu chini Kenya sasa mkenya wa kawaida atatafuta matibabu gani Tanzania?

Ajira hamtupatii. We rightfully earn it coz we are an oasis of intellectuals. You should even be worried that Kenyan professionals are taking over your jobs because your education system can't produce fully baked professionals for your job market

En exclusive economy wakati wewe hata hicho kiwanja chako hapo gongo la mboto umekodishiwa na serikali!? 😂

Miradi gani mnaongoza nayo. Zile za kufadhiliwa na wazungu ama? Hivyo ndivyo hiyo elimu yenu duni ya saint kayumba inavyowadanganya?

Nitajie hiyo bomba mliyobeba kutoka Kenya kupeleka Tanzania na niambie ni kiwango gani ya elimu ilitumika hapo 😂

Mliiba mizigo zipi wakati hadi leo mizigo zenu mingi haswa za Zanzibar bado zinasushwa Mombasa? 😂

Mliua KQ?! 😂 Kwa kutumia missiles au maji ya babu wa Loliondo? KQ inapaa anga za juu wakati nyinyi mmebakiza safari za ndani. Jiangalie

Wewe jinga type tu
 
Cargo yote tumeiba, mmebaki na Mitumbwi ya passengers[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hajui kusoma graph uyooo[emoji23][emoji23][emoji16][emoji1787][emoji1787]
 
Peleka mavi yako kibera, slang unaijua wewe? Wazee wa "konekshon", "edukashon" na slang wapi na wapi. Mtanzania ukimkuta anaongea kingereza basi ujue anaongea kama mzungu mwenye lugha yake co nyie wazee wa bad accent. Eti unaongea kuhusu slang yn mkunya amfunze mtz slang
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
By the look of things we ni clueless

Hakuna slang inayo violate grammar, peleka upumbavu kibera mbwa wewe, kwanza cjakuuliza wewe.
 
Primary school dropouts, basic statistics inawapiga chenga. Mtu anataka kupima mzigo na departure and arrival data. 🤣 🤣 🤣 Hii ni ujinga ya kuzaliwa walai.
Watajuaje kuinterpret graphs wakati wengi wao hawajasoma?
 
Bado uko past? Najua recent statistics zitawachoma mno ila mtazoea[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Woiyeeee 17 million pekee. 🤣🤣🤣🤣

 
Back
Top Bottom