Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni kwa ajili ya mradi wa maji kutoka ziwa Victoria?
Hapana ni kwa ajili ya mradi huu wa Bwawa la Farkwa 👇

20220512_190604.jpg
 
Wazee wa fitna mpoooo?

View attachment 2228435

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Amewajibu vizuri sana kama hawajaelewa hili jibu basi hawana akili vichwani mwao.
 
Hahahahaha. Boss mambo ya accounting wachana nayo, hii sio area yako. Eti nyumba sio asset ikiwa unaishi pekee yako?
Naomba kwa utilivu define a word asset? Kisha tell me which reasons are you use to identify your living house as an asset?
 
ukipata link kua dam ni loan na ukipata kua sgr phase one, three and five ni loan nitag nifunge acc sasa hvi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Huyo kondoo achana nae na blogs zake za kupotosha ili ajifurahishe.
Mkopo ulichukuliwa na mkandarasi Elsewedy na wala sio serikali ya Tanzania.
Halafu Elsewedy alichukua mkopo kutoka African Export-Import Bank then wakapata guarantees kutoka United Bank for Africa na CRDB Bank.
 
Jifunze kutofautisha facts with opinion...ndio tubishane..
Haya mambo ya Uhasibu ni mambo ya kitaalam kabisa. Sio mambo ya wewe kuleta opinion yako hapa. Wewe chongchung na Justinr mnatabia za kutoa opinion hata kwa mambo msioyaelewa. Hivi nikuulize wewe chongchung umesomea uhasibu? Mimi nimeisomea na ukiniitisha certificates zangu naweza kukuletea.
Define a word asset?
Hili swali haliusiani na mada nataka insit ya accountant[emoji116]Chukulia ww ni miliki wa duka la maji, frem unayo fanyia kazi ni sehem ya nyumba yako,na ww ndio unae uza duka hilo,ukafanya kazi mpaka mwisho wa mwezi ukapata faida 100000 bada ya kutoa cost za kununua maji, je hii laki moja ni kweli actul profit?
 
Halafu kuna nyumbu zinapimishana misuli na Tanzania kwenye mtandao wa barabara 😅😅😅


Kenya barabara ni moja tuu mombasa road au aka Uganda road yani miji yao yote mkubwa ipo along hii barabara, unatoka mombasa >Nairobi > Naivasha >Nakuru >Eldoret >kisumu ukitoka njee ya hii barabara uko kwengine kote ni uchafu tuu
 
Hiyo sio loan ni financing guarantee ni facility inayotolewa na bank kama guarantee pale ambapo serikali itakapochelewa kumlipa mkandarasi basi hiyo hela hutolewa itumike ili kazi isilale so it may be used or not depending on the government disbursement ya hela kwenye project husika.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Amewajibu vizuri sana kama hawajaelewa hili jibu basi hawana akili vichwani mwao.
Mkuu wa fitna kuna wakati alienda mpaka Elysee kulialia lakini akarudi patupu. Hapana chezea multinational companies they are the biggest tax payers in Europe and America.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom