Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Frames:

IMG_7091.jpg

IMG_7090.jpg

IMG_7089.jpg

IMG_7088.jpg
 
Hizo ni definition ya kimasikini, matajiri huwa wanamaana tofauti wanaposema asset. Kwao gari ni asset pale tuu inapokuingizia pesa (mf daladala, taxi, rental n.k). kama haikuingizi pesa inakuwa liability kwasababu utaigharimia bima, mafuta, usajili na matengenezo... wakati thamani yake ikishuka.

Exception ipo pale tuu unapoitunza kama classic car, ambapo thamani yake huongezeka kila mwaka kutokana na rarity yake.

Matajiri huwa wananunua jets ili kununua muda wa kufanya biashara kubwa haraka na hivyo kuzifanya jets hizo kuwa asset.

Ni kweli definition za kimasikini, Na jamaa anasisitiza ni aibu kusema gari sio Asset kulingana na matumizi yake, ila inategemeana na circle inayo m influence [emoji1787]. Kimasikini sikini hata nyumba wanayoishi wanaita ni Asset.
 
Hii tushawaacha mbali sn. Wangekuwa wao tayari washaweka statistics kitamboo wangekuambia the busiest port in East and Central Africa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani hujui kwamba Mombasa port is busier than all ports in Tanganyika combined? Ama ni lazima tu mkumbushwe?
 
Ni kweli definition za kimasikini, Na jamaa anasisitiza ni aibu kusema gari sio Asset kulingana na matumizi yake, ila inategemeana na circle inayo m influence [emoji1787]. Kimasikini sikini hata nyumba wanayoishi wanaita ni Asset.
Siyo dhambi kuwa na liability, duniani hapa lazima upunwe mahali, huwezi puna wewe tuu wakati wote, tatizo ni kujidanganya unapuna wakati unapunwa.
 
Budget ya Health ministry Kenya ni ksh 147 Billion, 62 Billion of which goes to UHC(universal health coverage)
Compared to Tz budget, it's 3 times biggerView attachment 2228644
Budget inategemea na size ya Uchumi na vipaombele kwa wakati husika..

Pili budget kubwa sio necessary na efficiency itakuwa Bora maana wote tunajua jinsi Kenya mlivyo mabingwa wa upigaji..

Tatu,mwaka huu tuna zoezi la sensa na pesa nyingi zaidi ya bil.600 zimepangwa huko,hata huko Kenya mwka huj bajeti yenu ya Afya itapungua kwa sababu ya Uchaguzi..

Kuhusu Issue ya universal Health care,implementation itaanza next financial year kwa sasa Serikali inamalizia some logistics na arrangements.
 
Back
Top Bottom