Diamond ameshinda award gani kubwa ambayo unaweza kuilinganisha na Oscar? Lupita ndio Mwafrika wa pekee ambaye amewahi kushinda Oscar. Huko USA wanawake weusi chini ya sita ndio wamewahi kushinda Oscar katika historia ya Oscar ya miaka karibu mia moja. Lupita ame-act katika black panther na katika 12 years a slave ambayo ilimfanya kushinda Oscar. Wamarekani wanamjua Lupita na hawamjui Diamond.
Hata wakati will Smith Anamzaba kofi Chris Rock, Lupita alikuwa amekaa nyuma ya Will Smith. Diamond ni taka taka mbele ya Lupita. Lupita ni one of the black movie stars in Hollywood.
View attachment 2227162
View attachment 2227165
Hapa Lupita akisherehekea na Will Smith baada ya Will Smith kushinda Oscar
View attachment 2227170