Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbaya ni kwamba, wanajirecord as though wanaongea na Wakenya wenzao , wasijue wanatushangaza.

Familia gani Tanzania inaweka ugali kwenye friji?? aisee, mi sijawahi kuona wala kusikia.

Jamaa wana hali mbaya sana!

The fool pictured was a hero for saving that huge and dirty Ugali!🙄🙄View attachment 2226353
si kawaida u knw tiktok memes is all about creating somethng thts out of this world. who can dare eat such kind of ugali, man's sweat being the salt.! yaak.!🤮
 
Kunyans kila siku wanasema wao ndio wanafanya wasanii wa Tanzania wafanikiwe

Huku ni West Africa ivory coast French speaking country lakini mtanzania anafanya maajabu na anatangaza Tanzania yetu, mkunya hafiki hizi levels hata tukimpa miaka 5000

DiamondPlatnumz, levo yake africa.....

Lupita Nyongo ni global Icon, ata ku win the most sort after Oscar🏆 Award !

Lupita aka the wife of T'Challa
Screenshot_20220516-141617_Chrome.jpg
1619716802_871_Lupita-Nyongo-Says-Black-Panther-2-Will-Honor-Chadwick-Boseman.jpg

eti sasa mbongo ajipate katika hizi worldstage... 🤔
305D620D00000578-3407767-image-a-49_1453268243854.jpg

bakini tu kwenye level yenu, na huyo DiamondPlatnumz wenu tafadhal......
Screenshot_20220516-140745_Chrome.jpg
Screenshot_20220516-145151_Gallery.jpg
 
DiamondPlatnumz, levo yake africa.....

Lupita Nyongo ni global Icon, ata ku win the most sort after Oscar🏆 Award !

Lupita aka the wife of T'Challa View attachment 2226793View attachment 2226794
eti sasa mbongo ajipate katika hizi world stage... 🤔
View attachment 2226795

bakini tu kwa level yenu, na huyo DiamondPlatnumz wenu tafadhal......View attachment 2226813View attachment 2226839
Huyo lupita anayejiita mmexico? Lupita lini katangaza Kenya? 90% of her fans and audiences don't know her Kenyan origin side, diamond anatangaza Tanzania kwa kiswahili na bendera, leta mahali lupita kabeba bendera ya Kenya!

Na lupita huwezi kumuweka level 1 ya umaarufu na diamond
 
Huyo lupita anayejiita mmexico? Lupita lini katangaza Kenya? 90% of her fans and audiences don't know his Kenyan origin side, diamond anatangaza Tanzania kwa kiswahili na bendera, leta mahali lupita kabeba bendera ya Kenya!

Na lupita huwezi kumuweka level 1 ya umaarufu na diamond
Wacha upuuzi. Kwanza, Baba ya Lupita ni mtu maarufu sana Kenya. Baba ya Lupita ni governor wa Kisumu kwa jina Professor Anyang Nyong'o. Lupita alizaliwa Mexico wakati baba yake alikuwa anafundisha katika university huko Mexico.

Pili, huyu hapa ni Lupita akifundisha wazungu jinsi ya kupika Ugali akiwa Kenya baada ya kurudi nyumbani baada ya yeye kushinda Oscars huko Marekani. Vogue, magazine inayoheshimika duniani ilimfuata hadi Kenya ili Lupita afundishe mafans wake jinsi ya kupika ugali.
 
Huyo lupita anayejiita mmexico? Lupita lini katangaza Kenya? 90% of her fans and audiences don't know his Kenyan origin side, diamond anatangaza Tanzania kwa kiswahili na bendera, leta mahali lupita kabeba bendera ya Kenya!

Na lupita huwezi kumuweka level 1 ya umaarufu na diamond
lupita ana beba bendera ya kenya... hivi, hii pamba aliyo inyuka ya samawati, iliitwa 'The Nairobi Blue'.. next minute, kila binti duniani kote, alitaka sare kaa hio

Screenshot_20220516-155004_Chrome.jpg
 
Naona mmeanza kuiga Tz kwenye quality, nyie hizo sio level zenu, level zenu matope roads kama Thika. Hapo cku c nyingi itakuwa kama iliyojengwa mwaka 1970.
Wamesema yupo contractor anayeiangalia. Hizi picha tuzitunze tutazitumia kama reference.
 
Huyo lupita anayejiita mmexico? Lupita lini katangaza Kenya? 90% of her fans and audiences don't know his Kenyan origin side, diamond anatangaza Tanzania kwa kiswahili na bendera, leta mahali lupita kabeba bendera ya Kenya!

Na lupita huwezi kumuweka level 1 ya umaarufu na diamond
Hata mkwanja pia kampita.
 
Kweli cheo cha umakamu uraisi hamna kazi, maana skuizi mpango kazi yake kutembelea misikiti na makanisa na mazishi
It's like the so called ceremonial tittle. Huwa sioni mandate yake kwenye serikali yake.Mwanzo wakati anaanza alikuwa anatoa maagizo lakini baada ya muda akawa kimya hadi leo, na siku zinavyozidi kusonga mbele ndivyo anazidi kuwa mpole.
 
Back
Top Bottom