Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata mkwanja pia kampita.
but are you realy sure Diamond has a Net worth more than $10M ahead Lupita.? an Oscar Winner.!?...
a Lead actor in TheBlackPanther blockbuster.. the 12th highest grossing Movie of all time.!!

prove me please. i ll be more than grateful 🙏🏽🙏🏽

Screenshot_20220516-160331_Google.jpg

hivi mtumzima tajika kutuonesha hard cash kama hii live ili mradi watu waone kua kweli ako na pesa ni ushamba wa aina yake.! ana kosa advisor huyu mtoto
Screenshot_20220516-161413_Gallery.jpg
Screenshot_20220120-022229_1.jpg
 
We are the king's in all sector, biggest port in East Africa and top 10 in Africa
View attachment 2226929
ndio zile meli za kubeba 300 cars au??🤣🤣 manake figure hamuweki hapa za magari

wakat dar port within a week imepokea meli nne kubwa za magari ambazo zimebeba 4000+ each imagine 😂😂😂
 
It's like the so called ceremonial tittle. Huwa sioni mandate yake kwenye serikali yake.Mwanzo wakati anaanza alikuwa anatoa maagizo lakini baada ya muda akawa kimya hadi leo, na siku zinavyozidi kusonga mbele ndivyo anazidi kuwa mpole.
Kweli kuna vipengelee kwenye katiba vinafaa vibadlishwe ili kumpa Mamlaka zaidi maana anakula hela za bure tuu hapo
 
but are you realy sure Diamond has a Net worth more than $10M ahead Lupita.? an Oscar Winner.!?...
a Lead actor in TheBlackPanther blockbuster.. the 12th highest grossing Movie of all time.!!

prove me please. i ll be more than grateful 🙏🏽🙏🏽

View attachment 2226904

hivi mtumzima tajika kutuonesha hard cash kama hii live ili mradi watu waone kua kweli ako na pesa ni ushamba wa aina yake.! ana kosa advisor huyu mtoto
View attachment 2226914View attachment 2226913
Screenshot_20220516-164702_Chrome.jpg
 
lupita ana beba bendera ya kenya... hivi, hii pamba aliyo inyuka ya samawati, iliitwa 'The Nairobi Blue'.. next minute, kila binti duniani kote, alitaka sare kaa hio

View attachment 2226900
Kwanini Nairobi blue na isiwe Mombasa, Meru, Nakuru au Kisumu blue au ndio tunaendeleza kale kaujinga ketu pendwa?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom