Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenyans are acting trending movies.

Eddie Gathegi in "The Harder They Fall"

images - 2022-05-16T214031.376.jpeg


images - 2022-05-16T214941.552.jpeg
 
Diamond ameshinda award gani kubwa ambayo unaweza kuilinganisha na Oscars? Lupita ndio Mwafrika wa pekee ambaye amewahi kushinda Oscars. Huko USA wanawake weusi chini ya sita ndio wamewahi kushinda Oscars katika historia ya Oscars ya miaka karibu mia moja. Lupita ame-act katika black panther na katika 12 years a slave ambayo ilimfanya kushinda Oscars. Wamarekani wanamjua Lupita na hawamjui Diamond.

Hata wakati will Smith Anamzaba kofi Chris Rock, Lupita alikuwa amekaa nyuma ya Will Smith. Diamond ni taka taka mbele ya Lupita. Lupita ni one of the black movie stars in Hollywood.
View attachment 2227162

View attachment 2227165

Hapa Lupita akisherehekea na Will Smith baada ya Will Smith kushinda Oscar
View attachment 2227170
kisha wanasema eti diamond ako na career success na hela mingi zaidi shida lupita 👇🏽👇🏽

Screenshot_20220516-215738_Chrome.jpg
 
But Kenyans control the economy of Tanzania. Tanzanian transport sector is in the hands of Kenyans cause your buses and lories are assembled in Kenya.
Wewe Teargas Hii Habari ya Kenya ku control uchumi wa Tanzania umetoa wapi? Au umetoa kwenu kakamega ?
 
Nimetazama katika habari za saa tatu usiku za biashara kwamba Fedex pia inakuja Kenya. Fedex itakuwa na regular direct flights to Jomo Kenyatta international airport. Ndege za Fedex zimekuwa zikienda South Afrika pekee barani Afrika. Sasa Kenya itakuwa nchi ya pili barani Afrika ambapo ndege za Fedex zitakuwa zinatua.
 
Shida yenu ni uoga. Yani mtu akisha kalia kiti cha uongozi hapo anakuwa kama mungu. Anaweza wanyea kwa midomo na mnyamaze tu kazi ni kusifia serikali. Ndio maana mna rasilmali kushinda nchi za Afrika Mashariki zote ukiondoa DRC yet kiuchumi mmeshindwa kuiongoza.
Sasa hicho wanachoandamania kina msingi wowote kweli?

Kuhusu rasilimali zetu hilo lisikupe shida subiri kitambo kidogo tu mtajua kwanini tuna rasilimali nyingi.
 
Lupita ni raia wa Kenya. Katiba ya Kenya inasema kama baba yako ni Mkenya basi mtoto wake pia ni Mkenya hata ikiwa amezaliwa nje ya nchi. Mtu aki-apply anapewa haraka sana. Tatizo nyie huwa sijui ni ushamba au ujinga. Hii aina ya citizenship inaitwa citizenship by family (jus sanguinis).

Lupita ni Mkenya na ameishi Kenya utotoni mwake. Baba yake hakuishi Mexico kwa muda mrefu. Alirudi Kenya na kuingia kwenye siasa na alirudi na familia yake. Lupita amesomea high school hapa Kenya kwa jina St. Mary's school.
cc chongchung
By the way hio st. Marys ni shule ya upili ambayo Uhuru Kenyatta pia alisomea. Ni shule ya matajiri hapa Nairobi. Jeff Koinange pia alisomea huko.
Ile siku utanionesha uraia wake nitaamini.
 
Back
Top Bottom