Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimepata watoto wa kisomali muda huu๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„View attachment 2224188
Shebby kwenye mavazi nakupa 10/10. Upo smart sana, Kenya tunasema umedunga vinoma. Niulize tu unatumia software gani kufunika uso? Wengine wetu pia tuna picha hatari sana ambazo tunaweza kupost humu ila mtu kama mimi mambo ya technology nipo nyuma sana. Niliona Teargas pia alitumia mbinu hii ya kufunika uso. Software gani mnatumia wadau?
 
Mkuu ni kweli kabisa yaan nina siku mbili ila sina amani tayaari nimeshamis kisamvu na chakula cha mtume[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Toroka uje kaka tukifinye nchi ya neema hii kila kitu kinapatikana kwa urahisi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kilimo hakikupi utajiri huo unaoutazamia...Angalia kampuni ya Sumsung tu pekee yake inalipa kodi kiasi gani huko Korea, ama kampuni ya Boeing USA...wenye technology ndio wenye hela dunia ya leo
Ni kweli technology inalipa. Halafu kuna nchi moja hatari sana kwenye technolojia kwa jina la Taiwan. Wanaongoza duniani kwa teknolojia ya computer microchips. Hususan kampuni bingwa kwa jina la TSMC.
 
Aisee napenda sana kunukia vizuri mie nina collection ya colognes/perfume nne ninazo zipenda 1.creed aventus,2.amouge interlude etc.
Siunajua wabongo tunao uwezo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kabisa mkuu my favourite perfume is Channel. Naipenda sana hii kitu imetulia sana na haichoshi hata ikikaa muda mrefu. Kuna ambayo ikichanganyika na jasho.

Kweli unapenda vitu vikali Creed si haba mzee.
 
Juzi mama alikua uganda jana nikaona waziri wa mambo ya nje wa rwanda yuko magogoni na mama kaleta ujumbe toka kwa kagame,TZ ndio baba lao kwa huu ukanda
Kabisa mkuu wakaskazini wanajibaraguza tu kwenye hili eneo. Na bado kuna mipango mizuri inakuja hapo mbeleni.
 
Toroka uje kaka tukifinye nchi ya neema hii kila kitu kinapatikana kwa urahisi [emoji23][emoji23][emoji23]
Wacha mwenzako Shebby01 atafute pesa. Nairobi kuna pesa kwa waliosoma. Kampuni kubwa kubwa za kimataifa zipo Nairobi. Akishatengeneza pesa atakuja nyumbani kula bata.
 
Me najifunza tu kwa watu ambao wako eagerly kuelimisha wengine. Nimeelewa kitu mkuu.Hapa tusubirie kwa wafanyakazi salary slips zao zitasomaje mwisho wa mwezi wa kuongezewa mshahara.
 
Ubinafsi tu kaka na roho mbaya wanapoona mwenzao anaanza kufanikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ