Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Boss katika maisha yangu nimedate wasomali na waswazi wengi kuliko kabila lingine. Unawaona wamaajabu mpaka namba unaringia. Kweli Kenya tunawarembo
Hivi yule jamaa uliyemtuma aje kupiga picha ulikumbuka kumpa camera [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Boss katika maisha yangu nimedate wasomali na waswazi wengi kuliko kabila lingine. Unawaona wamaajabu mpaka namba unaringia. Kweli Kenya tunawarembo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣hao sasa wana uzuri upi? Na namba sikupi!
 
Back
Top Bottom