Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani muendesha kwenye expressway bure ?? Au mchina kuimiliki miaka 30 unafkiri maana yake nn??🤣🤣🤣 pain mutakutana nayo kweny toll za mchina mark my words na mutalia huko twitter am just waiting
No one is forcing Any Kenyan to use it. The old road, which remains free will be there for those who can't afford.

This is just but a beautiful paid alternative for those who are in a hurry.
 
No one is forcing Any Kenyan to use it. The old road, which remains free will be there for those who can't afford.

This is just but a beautiful paid alternative for those who are in a hurry.
Barabara ya juu ikiisha mchina atakuwa busy kurekebisha barabara ya chini na mchina alivyo na akili kuzidi stupidi manki atatumia muda mrefu kurekebisha na hapo ndipo mtalipia kupita barabara ya juu kwa lazima
 
Huyu jamaa apewe wizara
Khaa yaani kwa kufanya ziara tu? wacha upuuzi! Utendaji ni more than that, hii wizara inaenda kwavile kuna watu wanapanga utendaji wake! Yeye anafanya tour ya kujifunza kama naibu mpya! Usidharau Waziri Chamuliro na Katibu Mkuu na timu yao ambao wanapanga budget, wanafanya procurement na mipango kazi kwa ujumla!
 
Mambo ya kawaida...
Screenshot_20210607_092442.jpg
 
No one is forcing Any Kenyan to use it. The old road, which remains free will be there for those who can't afford.

This is just but a beautiful paid alternative for those who are in a hurry.
Unafkiri hio old road ni lazma ijengwe tena upya kwasababu ishaharibika na kutumika vibaya sasa mutalazmishwa wote kulipa juu kwa mchina ili waendelee na ujenzi wa china hata kwa miaka miwili hvi 🤣🤣🤣 ili mchina awakamue kwanza ipasavyo na ile pain muifeel ndani ya moyo
 
Barabara ya juu ikiisha mchina atakuwa busy kurekebisha barabara ya chini na mchina alivyo na akili kuzidi stupidi manki atatumia muda mrefu kurekebisha na hapo ndipo mtalipia kupita barabara ya juu kwa lazima
Ww subiria maumivu tutayapata twitter huko wao wanafkiri mchina ni mwendawazimu 🤣🤣
 
Haya janga lingine baada ya express way 🤣🤣🤣 walifkiri wao ndio wametoa hzo pesa kumbe wawekezaji kutoka nje 👇👇👇 hii nchi inaelekea kuuzwa sasa

Back
Top Bottom