Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakati Tanzania inasaidia nchi za kusini mwa Africa kupigania Uhuru hawa kondoo walikuwa busy kujenga uchumi.
Wakati Tanzania inapigana vita na Uganda hawa kondoo walikuwa busy kujenga uchumi. (Ajabu Uganda wapo mbali kwenye kilimo na hawaombi chakula cha msaada)
Sasa mbona kama vile walikuwa busy for nothing kwa sababu hakuna walichofanya.
Kwa hizi hekaheka alizopitia Tanzania tulitegemea hawa kondoo watakuwa level moja na kila Misri na South Africa lakini cha ajabu ni eti wapo kwenye kundi la nchi linalo survive kwa kupokea misaada ya chakula.
Mnaona hawa kondoo walivyo failed state!
Tulitegema nchi yao ingekuwa na huduma nzuri kwa wananchi wake kama maji safi (nimeona wanachi wake wanagegedwa ili wapewe maji), hifadhi ya kutosha ya chakula (wakenya karibu milioni nne wamekumbwa na njaa), makazi bora (wana slum kubwa Africa), public transport nzuri (wana convert magari ya mizigo kuwa ya abiria), huduma bora za afya (wakenya wengi hufata matibabu bora kwenye hospitali za Tanzania mfano kuna county ya taita taveta wananchi wake wote hufata matibabu kwenye hospitali za Tanzania) ...nakadhalika.
Hii failed state inaaibisha sana East Africa.
Hata mimi nashangaa hawajamaliza kujenga uchumi mpaka leo.
 
We also have Superdoll
Hii picha niliiandaa asubuh mida ya saa moja kumjibu huyo jamaa.. sijui ikawaje nikasahau kupost
Anyway nyingine hii hapa.. pia kuna wengine wapo kule kibaha walizindua juzijuzi tu
20220514_070715.jpg
 
Kwahiyo wako chini ya hiyo niliyotaja? Kuna sehemu nilisoma kipindi vita inaanza comparison ya Ukraine na Urusi wakaandika hiyo.
Ukraine gdp yao ni ya kawaida kwa nchi za Europe man $155b
Screenshot_20220514-131050_Samsung%20Internet.jpg
 
Wakishindwa lazima waokoteze picha za kujiliwaza, hebu ingia google na wewe utafuta picha za Somalia uziweke na useme ni Kenya

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kwa hivo unajua kile unachokifanya pia nawe🤣 ukishindwa unatukumbusha kuwa hatuna maji...what you don't understand is that there are challenges in Kenya just like the rest of the world, Tanzania is no different, therefore if you ask me about infrastructural projects in Nairobi don't expect me to show you sex workers.
Or are you going to tell me that there are no sex workers in Dar 🤣😅😅
Kwahiyo hizi picha za Kibera ulizoweka hapa lengo lako ni kutaka kuleta ujumbe gani?,. Tunazungumzia Ukosefu wa maji na kwamba wakenya wengi ni masikini hata uwezo wa kununua maji hawana wanalazimika kutoa sex

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Unataka kusema hakuna sex workers Dar? 😅😅 Ama hao hawafanyi kwa sababu ya umaskini, ni hobby yao😅😅
 
Back
Top Bottom