Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wabongo wanakubalika kila sehemu aaafu nimejinyunyuzia oud of glory by initio perfume khatari😁😁😁View attachment 2224240l
illuminati's very finest

Screenshot_20220514-172310_Chrome.jpg
 
Anatia huruma [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ila brother sijui nitakaa muda ghan ila nafanya collection ya vipicha kwa ajili yako, babayao255 na ndugu zangu wote humu ndani kwa ajili ya battle ya baadaye tuombe uzima tu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ila brother sijui nitakaa muda ghan ila nafanya collection ya vipicha kwa ajili yako, babayao255 na ndugu zangu wote humu ndani kwa ajili ya battle ya baadaye tuombe uzima tu
Fanya hivyo tumalize hii battle kabla ya EMU a.k.a ua ua hazijaingia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mnakuwa kuelekea wapi? Ikiwa mpka leo maji, chakula bado ni kitendawili? Mnakula mafiii....bado uko hapa kuongea ujinga
hiyo ni porojo tumezoea kuskia toka kwenyu kilakukicha.. haina makali wala haiongezi ulcers
 
Sikumaanisha kilimo pekee tu ila nilitaka kusema kwamba pamoja na GDP ndogo waliyonayo lakini wanalima sana tofauti na nchi nyingi za Afrika, ardhi na rasilimali nyingine bado tunashindwa kutoka.
Nimekupata...sisi tunalima Sanasana kuzuia njaa....wanaolima haswaa sio wengi na hawana njaa
 
Back
Top Bottom