babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 12,904
- 34,903
Zile habari Sukuma gang huwa hawapendi kuzisikia.
Mama kaupiga mwingi huku kwenye Mishahara
View attachment 2224232
Umezidi ujinga sasa, hivi kuna mtu hapendi nyongeza ya mshahara?
Zile habari Sukuma gang huwa hawapendi kuzisikia.
Mama kaupiga mwingi huku kwenye Mishahara
View attachment 2224232
Ww ni mafiii sanaaaaTanzania will never pass Kenya. Whatever you are building we already built long time ago.
Jeni mzalendo bana!Oh so you one o' those tight ass pants typa niggas... Pun intended, anyway take one of the Somali girls with you, I bet they'll enjoy Dar. Karibu Nairobi mkuu, jibambe...
Hawa jamaa tukipost maisha yetu humu watachukia bora tuendelee kuwa enjoy 🤣🤣🤣🤣🤣Hilo koti unanunua lile koti la Mkulingwa wa Lab pair 3000J/K
Wakunya nilwauliza progress ya brt mkanipotezea nimeamua nije nijuonee mwenyewe asa hiyo state of the art ultra modern self driven ofice imenifurahisha tanzania tunatakiwa tuigeView attachment 2224102View attachment 2224103View attachment 2224104View attachment 2224105View attachment 2224099View attachment 2224106View attachment 2224107

..
)Si unajua hawa wakija bongo ni wa wakawaida sana ila kwa majirani wametisha sana😄Sura za Mombasani hizi ndg Shebby![]()
Pamekaa ovyo sana nikama mradi uli flopMbona mradi umesimama hela imekata au hakuna political will.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
AmazingWakunya nilwauliza progress ya brt mkanipotezea nimeamua nije nijuonee mwenyewe asa hiyo state of the art ultra modern self driven ofice imenifurahisha tanzania tunatakiwa tuige 😁😁😁😁View attachment 2224102View attachment 2224103View attachment 2224104View attachment 2224105View attachment 2224099View attachment 2224106View attachment 2224107
Wanafikiri kujenga BRT ni lipstick na chaki kazi imeisha 😂
Apo naomba nikukatae kabisa, umeraisisha sana , alafu na wonder kwanin watu wapo humu wamesoma uchumi wamekuacha ukaitafsiri GDP, km kitu flani tu, kma ulivyo sema GDP ni all values of all goods and services produced within the country at a certain period....lakina ambacho hukukieleza ni ikiwa nchi inafanikiwa kuwa na output kubwa kwenye goods na services inapelekea Gvt kupata mapato zaidi kupitia (kodi,fee mbali mbali)kitu kinacho sababisha kuwa na mabavu ya kuhandle vyema matatizo ya nchi mfano chakula,mafuta,huduma za maji,atc, ndio mana inafikia hatua nchi moja inaweza kopesha au kutoa msada kwa mwingine.GDP is simply the value of a country’s aggregate output in a specific period. You think that they could somehow use their “GDP” to stock food. Well, they can’t. You need to think about the causes of food insecurity in Kenya. Even places like Ethiopia have historically experienced hunger for quite some time. Less than 20% of Kenya’s land is suitable for cultivation. Like many other parts of sub Saharan Africa, most Kenyan farmers rely on rain for irrigation. With climate change, extreme drought continues to persist, affecting agriculture, thus, lowering farm produce. Unemployment is also another problem because people can’t afford to buy food. So, their economy is bigger than ours, but their geographical location poses a natural problem. And they’re also very corrupt! If only they could intensively invest in irrigation schemes and land transformation, they could alleviate the problem quite smoothly.
Hakuna msomali hapo.Nimepata watoto wa kisomali muda huu😄😄😄View attachment 2224188
Mnakuwa kuelekea wapi? Ikiwa mpka leo maji, chakula bado ni kitendawili? Mnakula mafiii....bado uko hapa kuongea ujingana pia usisahau sahivi tunakua kwa asilmia 7.5%.! kupata kenya itakua ni ndoto
Hebu tulinganisheTanzania is importing vehicles of 20yrs plus. Ebu angalieni hiyo lory ya blue
View attachment 2224141







Ww lini umeonesha mazuri ya TzKama uko Nairobi na wewe ni mtu muungwana, tafadhali ukiomyesha wenzenu mabaya pia waonyeshe mazuri kwa kiwango sawa, usiende tu mahala pazuri ukajienjoy na kupiga selfie ila JF watuonyesha tu mabaya, uchoyo acha mkuu![]()




Mkuu ni kweli kabisa yaan nina siku mbili ila sina amani tayaari nimeshamis kisamvu na chakula cha mtume🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ukiona hivyo njoo utie baraka kwanza nyumbani itakuwa asili inakuvuta.Saa nyingine ukiona unafanya kitu /vitu na haviendi sawa sawa, au unapawazia sana nyumbani hapo huna budi kurudi kwanza ili uweke mambo sawa n then uendelea na mambo yako.
They have nothing to show as private property ndiyo maana wanapost picha zilizopigwa na watu wengine na c wao binafsi. Wao wana own mabuti yenye mashavuWakulungwa wa Kaskazini mara chache sana wanashare picha walizopiga wao wenyewe , au wote wengi hawatoki Nairobi? Hawapiti vitu vizuri njiani wakielekea kazini na kurudi na kupiga picha kushare hapa? Hawatoki kula bata wakapiga kutuonyesha pia? Au hawapendi kupiga picha.
Mi nikipita popote nikiona kitu chochote kinahusu hii battle natwanga Photo.
View attachment 2224169
View attachment 2224170
View attachment 2224171
View attachment 2224173
View attachment 2224174
View attachment 2224175
View attachment 2224176












Kuna mmoja alituma mtu Dar huyo mtu akaishia kulowea Dar hakutuma hata picha moja mpk leoSafi sana mkuu na mkunya akija dsm apige picha na yeye tufanye comparisson which country is better!










Aisee napenda sana kunukia vizuri mie nina collection ya colognes/perfume nne ninazo zipenda 1.creed aventus,2.amouge interlude etc.Hii sifahamu mkuu.Hope so utakuwa uko vizuri sana kwa manukato hayo,hawa viumbe hupenda mwanaume smart.
Jamaa yuko nyuma ya mda, ni time Traveller. Bonge la tai aisee au pastor mbwa yuleNadhani wakunya wameona namna kijana anavyotakiwa avae.
Sio kijana unavaa kama mzee.
Ila ile tai na lile shati jeusi.![]()










Hapo sasa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ww lini umeonesha mazuri ya Tz![]()