tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Nimetafakari huu ujumbe nami nikaibua mambo yafuatayo...Hongera kwake kwa hili.. ila hio hela haihusu mishahara yote.. ila maximum ndo hio 23% kwa mishahara ya kima cha chini.. mishahara ya juu hio % inapungua.. hatujui mwenye 1M au 3M ataongezwa kwa % ngap.
Natolea mfano mdogo.. anaelipwa kima cha chin cha 300,000 (mfano tu).. akiongezewa hio 23%, ongezeko inakuwa 69,000,
Na anaelipwa 3M.. akiongezewa hio 23% inakuwa 690,000, sasa serikal haiwezi kuongeza 690,000 kwa mtu mwenye msharaha wa 3M (hii 690,000 tayar ni mshahara wa mtu mwingine kbsa huu)
So inayojulikana ni hio 23% kwa kima cha chin.. ndo mana taarifa inasema ikiwemo 23% ya kima cha chini ..huko juu hatujui ni ngap.. inawezekana hata ikawa ni 5%
Ngoja nitoe mfano wa uongezeko la 5% kwa mtu wa msharaha wa 3M.. huyu ataongezewa 150,000..
Sasa ona tofauti.. ongezeko la 23% wa mshahara wa mwenye 300,000 ni 69,000 lkn ongezeko la 5% wa mshahara wa mwenye 3M ni 150,000 (reasonable kbs hii)
Sijui nilitaka niongeze nn lkn nadhan umeelewa kitu tayar
Watumishi wengi wako chini ya 1M apo ni % kubwa...
Hao wenye 1M nakuendela ni seniors au maofisa wakubwa...lakini pia ukishakua na mshahara zaidi ya 1M kodi nayo inapanda maradufu...unajua mtu anaelipwa let say 3M kodi yake ni 600000+ so hata ukimuongezea iyo 23.3% bado nyingi wataichukua atabaki na laki 2 au 3 tu kwenye take home plus ile existing alikua nayo earlier

