Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mambo haya yanastahili kusuluhishwa kupitia mazungumzo. Ushenzi ni Serikali ya Magufuli kulipiza kisasi na kusababisha Wakulima wenu kupoteza pesa. Mazungumzo yamesababisha tariffs na vikwazo zaidi ya 15 kuondolewa. Na vikwazo hivi vilikuwa vya pande zote mbili.
Mnaishia kwa hofu Sana,swala la nyie kupitwa kiuchumi na Tanzania haliepukiki maana tuna resources zote na tuko kwenye right truck Kwa hiyo mcheze vizuri.
 
Pamoja na kwamba Wakenya mnaudhi na ku boa ,ngoja nitoe tribute kwa huyu Muungwana 🙏🙏

Screenshot_20220513-141702.png
 
Historia nyingine imewekwa na Samia, utekelezaji wa bajeti ya Wizara ya maji 95% .

Miradi mipya ya mabilioni ya Bwawa la Kidunda na Farkwa kuanza utekelezaji wake 👇

20220512_190501.jpg


20220512_190604.jpg


20220512_185408.jpg
 
Kwa hili la MCC mama kanikosha,pamoja na kwamba US haijajibu moja kwa moja bila shaka wanafuatilia mwenendo wa siasa Nchini kabla ya kufanya uamzi wa re-admimissio 👇

Screenshot_20220513-105534.png
 
Ni kweli mkuu, ila sio kwa Sasa, lazima tuwe na vipaumbele kulingana na "limited resources" tulizonazo, hatuwezi kufanya vyote kwa wakati mmoja.

Hivi Sasa nchi yetu hatuna sababu ya kutumia pesa nyingi kuwekeza kwenye Jeshi eti kwasababu Uganda na Kenya wanatumia zaidi ya $1.2B katika Jeshi, mipaka Yao haipo salama Sana ukilinganisha na Tanzania.

Kwasasa, tunaweza kudhibiti usalama wa ndani kwa kutumia polisi, hivi Sasa kwa amani, Tanzania ni nchi ya 7 Afrika na 54 duniani kwa amani na usalama, Kenya duniani ni namba 125 na Afrika ipo chini Sana.

Hivi Sasa Kenya Amani ni tatizo kubwa, wanahitaji kuweka ni kipaumbele cha kwanza katika bajeti zao, huku kwetu usalama sio tatizo Sana kwa Sasa, tunayo matatizo ambayo yanahitaji "immediate action", huko ndio tunapaswa kuelekeza nguvu zetu, CCTV ni sawa, lakini sio huo mfumo mzima, Bora tuwekee katika kudhibiti ajali kwasababu ni tatizo kubwa kwa Sasa.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Nakupa home work nenda youtube angalia chimbuko la organized crime ya kina Medellín (Pablo Escobar) and Cali (cali brothers) Cartels. Depending on their ambitions, hawa wakina Panya Road wasichukuliwe kimzaa wanaweza kubadilika wakawa magaidi ama drugs cartels! System ndogo kama ya surveillance inaweza zuia hili!
 
Back
Top Bottom