Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwajinsi walivyokuwa na shida ya nishati wataweka tuu mzigo kwenye LNG yetu. Halafu vile vijikelele ambavyo viko against EACOP sijavisikia hivi karibuni naona wenye wivu support toka kwa mabwana zao imekata sasa maana mabwana zao wamekabwa kende ile mbaya Mrusi nyoko sana

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Nakwambia Mrusi amewapa somo kubwa sana maana ndiye walikuwa wanamtegemea kwa nishati wakaona wakiwekeza Afrika watawageuka,sisi weusi hatuaminiki. Kumbe kigeugeu ni mzungu mwenzao.
 
Tanzania ime-overtake South Afrika na kuwa Kenya's top source of imports. Kenya inanunua bidhaa ya thamani nyingi kutoka Tanzania kushinda nchi yoyote hapa Afrika. Hii ni baada ya mama kuingia madarakani na kuondoa roho mbaya iliyokuwepo hapo awali. Kenya imedouble value of imports from Tanzania in the last one year.
Kenya imekuwa ikinunua bidhaa nyingi kutoka SA kwa miaka nyingi, sasa TZ imeshika nafasi ya kwanza kama source market hapa Afrika. SA ni ya pili.
 
Mjinga wewe unanionesha vitu petty kama hivyo ambavyo havifiki hata $1m, nchi gani ambayo haina hzo infrastructures cheap.

Mjinga wewe unanionesha vitu petty kama hivyo ambavyo havifiki hata $1m, nchi gani ambayo haina hzo infrastructures cheap.
Iko wapi hizo zenu cheap😂
Screenshot_20220513-112951.png
 
Fundi kitasa Sama boy 255 Geza Ulole poleni naona ni kweli mna 57 tcf ya lng. Hio site ndio imenidanganya. Ila the East African imesema ukweli.

Currently, Tanzania has proven natural gas reserves of 57 trillion cubic feet, with at least 49.5 trillion cubic feet of these far offshore in the Indian Ocean.
Alafu ww jamaa mstaraabu ukigundua Lisa lako, hongera
 
Tunaziitaji uhalifu unabadilika kila siku! Leo Panya Road sijui kesho watakuwa nani! Huwa sielewi kwann wizara ya mambo ya ndani hailioni hili? Au mpaka Al Shabaab/ISIS wabutue CBD ndo watakurupuka?
Ni kweli mkuu, ila sio kwa Sasa, lazima tuwe na vipaumbele kulingana na "limited resources" tulizonazo, hatuwezi kufanya vyote kwa wakati mmoja.

Hivi Sasa nchi yetu hatuna sababu ya kutumia pesa nyingi kuwekeza kwenye Jeshi eti kwasababu Uganda na Kenya wanatumia zaidi ya $1.2B katika Jeshi, mipaka Yao haipo salama Sana ukilinganisha na Tanzania.

Kwasasa, tunaweza kudhibiti usalama wa ndani kwa kutumia polisi, hivi Sasa kwa amani, Tanzania ni nchi ya 7 Afrika na 54 duniani kwa amani na usalama, Kenya duniani ni namba 125 na Afrika ipo chini Sana.

Hivi Sasa Kenya Amani ni tatizo kubwa, wanahitaji kuweka ni kipaumbele cha kwanza katika bajeti zao, huku kwetu usalama sio tatizo Sana kwa Sasa, tunayo matatizo ambayo yanahitaji "immediate action", huko ndio tunapaswa kuelekeza nguvu zetu, CCTV ni sawa, lakini sio huo mfumo mzima, Bora tuwekee katika kudhibiti ajali kwasababu ni tatizo kubwa kwa Sasa.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hako ka 0.3 trillion cubic feet of gas kenu hakawezi kutosheleza hata nchi moja ya Western Europe hata kwa miaka miwili. Angalau Mozambique wana 100 trillion cubic feet of gas.
baada ya kula vitasa vya nguvu sasa nunua barafu kupooza manundu kwa bill yangu!

Hata hawa wanawafariji ila ukweli unajulikana ballore watapitisha wapi mabomba yao!
 
Tanzania ime-overtake South Afrika na kuwa Kenya's top source of imports. Kenya inanunua bidhaa ya thamani nyingi kutoka Tanzania kushinda nchi yoyote hapa Afrika. Hii ni baada ya mama kuingia madarakani na kuondoa roho mbaya iliyokuwepo hapo awali. Kenya imedouble value of imports from Tanzania in the last one year.
Kenya imekuwa ikinunua bidhaa nyingi kutoka SA kwa miaka nyingi, sasa TZ imeshika nafasi ya kwanza kama source market hapa Afrika. SA ni ya pili.
Ukweli ni kwamba uchumi wa Tanzania unakua kwa Kasi Sana, Manufacturing sector ya Tanzania ni miongoni mwa sector zinazokua kwa Kasi Sana, sio Kenya pekee, hata South Afrika yenyewe, hali inabadilika,wananunua bidhaa nyingi kutoka Tanzania kuliko tunavyonunua kutoka South Afrika.

Hiyo ndiyo faida ya kujenga uchumi "from within", wasomi wetu wengi wanabaki hapa nchini ili kujenga uchumi, hatukimbilii Ulaya na Marekani au nchi zingine kwenda kufanya kazi ili kutuma "remittances" nyumbani.

Hili jambo la wakenya wengi kukimbilia nchi zingine ni tatizo kubwa Sana ambalo wakenya mnapuuzia lakini litawaletea athari kubwa za kiuchumi miaka ijayo.

Kama "trend" itaendelea hivi, Kenya itaitegemea Tanzania kwa 60% ya imports zake by 2030

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Tanzania ime-overtake South Afrika na kuwa Kenya's top source of imports. Kenya inanunua bidhaa ya thamani nyingi kutoka Tanzania kushinda nchi yoyote hapa Afrika. Hii ni baada ya mama kuingia madarakani na kuondoa roho mbaya iliyokuwepo hapo awali. Kenya imedouble value of imports from Tanzania in the last one year.
Kenya imekuwa ikinunua bidhaa nyingi kutoka SA kwa miaka nyingi, sasa TZ imeshika nafasi ya kwanza kama source market hapa Afrika. SA ni ya pili.
Heheheheeee tuliwaambia
 
Usiruke ruke sana. Kenya ili-import around $500 million au ukipenda $0.5 billion kutoka Tanzania mwaka uliopita. Total imports za Kenya mwaka uliopita kutoka nchi zote duniani ni zaidi ya $15 billion. Narudia tena $15 billion. Sasa percentage ya Kenya's import from Tanzania to total import ni
0.5/15×100=3.3%

Nchi chache sana hapa Afrika zinaimport bidhaa nyingi kushinda Kenya. Hio $500 million tunayoimport kutoka Tanzania ni 3% ya Kenya's total import ya $15 billion kwa mwaka.

By the way hio $15 billion ni value ya zamani ya miaka kama tatu zilizopita. Nipo sure sasa hivi import bill ya Kenya imepita $17 billion kwa mwaka. Wacha nikaangalie economic report ya KNBS.
 
Ifahamu textile manufacturing company iliyofungua kiwanda chao Kenya mwaka wa 2020. Sasa hivi imeajiri Wakenya 3,000. Kampuni hio ipo ndani ya special economic zone.

MAS Intimates Kenya Athi River in Machakos County

bZZyVbCh.jpg

YulsLT4h.jpg

wJ4cpoEh.jpg

mdrEz6Ah.jpg

4gbkWu7h.jpg

MAS Intimates Kenya Limited is a scion of MAS Holdings, the largest apparel technology company in South Asia, involved in the offshore production of clothing items for leading global brands.

Set up in 2020, MAS Intimates (EPZ) employs over 3,000 skilled Kenyans in the production of top drawer apparel for leading fashion brands in line with the manufacturing pillar of the Government's Big 4 Agenda.

Speaking at Athi River in Machakos County during the launch of the factory operating under the Export Processing Zones programme, President Kenyatta said the huge investment is a testament of the decade-long groundwork laid under the #manufacturing pillar of the #Big4Agenda.
.

Like

1652433783396.gif
 
Tanzania ime-overtake South Afrika na kuwa Kenya's top source of imports. Kenya inanunua bidhaa ya thamani nyingi kutoka Tanzania kushinda nchi yoyote hapa Afrika. Hii ni baada ya mama kuingia madarakani na kuondoa roho mbaya iliyokuwepo hapo awali. Kenya imedouble value of imports from Tanzania in the last one year.
Kenya imekuwa ikinunua bidhaa nyingi kutoka SA kwa miaka nyingi, sasa TZ imeshika nafasi ya kwanza kama source market hapa Afrika. SA ni ya pili.
Nyinyi wenyewe Ndio mlikua mnajishelewesha kama saivi mnataka kuongeza vat kwenye gesi inayotoka tz
 
Back
Top Bottom