The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
Matunda ya Ziara ya Rais Kwa Museveni,vikao vya majadiliano vimeanza👇
Huo mfumo wa Kenya sio CCTV tu, CCTV ni sehemu tu ya mfumo mzima, huku kwetu tulikua tunatumia mfumo huo kufuatilia speed ya mabus nchi nzima, sijui uliishia wapi, ni "Active centralized system of survilance".Ila baba CCTV hazikwepeki!
Zipo kwa baadhi ya maeneo af sio chache ataIla baba CCTV hazikwepeki!
theinformer.co.ke
Pole wewe kwa kushabikia "negatives" against Tanzania, Kama ingelikua ni watanzania ndio wanashabikia "false and negatives against Kenya" ungesema watanzania wanachukia Kenya, ila kwenu ni haki yenu na Kamwe hamna chuki dhidi ya TanzaniaFundi kitasa Sama boy 255 Geza Ulole poleni naona ni kweli mna 57 tcf ya lng. Hio site ndio imenidanganya. Ila the East African imesema ukweli.
Currently, Tanzania has proven natural gas reserves of 57 trillion cubic feet, with at least 49.5 trillion cubic feet of these far offshore in the Indian Ocean.
![]()
Tanzania LNG project talks drag on
The $30b plant has been in limbo awaiting the pact that governs rights and obligations of parties.www.theeastafrican.co.ke



Tunazihitaji uhalifu unabadilika kila siku! Leo Panya Road sijui kesho watakuwa nani! Huwa sielewi kwann wizara ya mambo ya ndani hailioni hili? Au mpaka Al Shabaab/ISIS wabutue CBD ndo watakurupuka?Huo mfumo wa Kenya sio CCTV tu, CCTV ni sehemu tu ya mfumo mzima, huku kwetu tulikua tunatumia mfumo huo kufuatilia speed ya mabus nchi nzima, sijui uliishia wapi, ni "Active centralized system of survilance".
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hana taarifa zozote huyo, wacha kuunga mkono watu wenye kuonyesha support kwa lile ulichoandika hata kama sio kweliI agree with you on this.
Nyie ndio mlianza kusherehekea negatives za Kenya. Wewe kwanza ndio kiongozi wa kundi hilo. Sisi tunamalizia tu.Pole wewe kwa kushabikia "negatives" against Tanzania, Kama ingelikua no watanzania ndio wanashabikia "false and negatives against Kenya" ungesema watanzania wanachukia Kenya, ila kwenu ni haki yenu na Kamwe hamna chuki dhidi ya Tanzania
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Nyie wanaume wa Dar ni legelege Sana yaani mnashikwa makalio na hivyo vitoto?Tunaziitaji uhalifu unabadilika kila siku! Leo Panya Road sijui kesho watakuwa nani! Huwa sielewi kwann wizara ya mambo ya ndani hailioni hili? Au mpaka Al Shabaab/ISIS wabutue CBD ndo watakurupuka?
Bado wakunya eti wanasifia kwamba is the best AirportHuu uwanja wa Jomo Kenyatta International Airport ndiyo the most dangerous airport in the world as far as pilferage issues are concerned. Yani kuna wizi wa hatari kwenye huu uwanja, usije ukazubaa kwenye huu uwanja utakuta wamekuibia kila kitu.
Home - The Informer Media Group, Latest Breaking News Today.
Stay informed with the latest breaking news from Kenya and around the world. From politics, business, sports, entertainment, trends, and exclusive videos...theinformer.co.ke
View attachment 2222606View attachment 2222607![]()
Journalist in court for stealing Sh200k from passenger at JKIA
A journalist with a leading local media house has been arrested and charged in court for allegedly stealing Sh200,000 from a passenger at the Jomo Kenyatta International Airport on Wednesday. Thenairobinews.nation.africa




How do you feel now after realizing that what you post here is wrong?, Kuwa makini na Mambo unayoweka bila kuwa na uhakika nayo, yanakushushia respect yako uliyoijenga kwa muda mrefu.Hako ka 0.3 trillion cubic feet of gas kenu hakawezi kutosheleza hata nchi moja ya Western Europe hata kwa miaka miwili. Angalau Mozambique wana 100 trillion cubic feet of gas.
Yani kuna wizi hapo kwenye huo uwanja si mchezo, abiria wanasema wazi wazi kwamba wanashangaa hapa JNIA hakuna wizi kabisa ila JKIA kuna wizi kupita maelezo.Bado wakunya eti wanasifia kwamba is the best Airport
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kabisa mkuu. Hili la Putin limewapa somo kubwa sana.Ni kweli wako biased kwenye investment zao wanaona ni bora wawekeze kwa wazungu wenzao au kwa watu wengine wenye ngozi nyeupe hata kama hali ya amani ni hovyo lakini sio Africa. Sisi tumekuwa kama yatima na bado kwa ujinga wetu viongozi wanatuangusha sana.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Negatives" zikiwa ni kweli hizo ni sawa kushabikia, lakini zikiwa sio kweli Kama hizi, hiyo ndio inaitwa wivu na chuki. Sasa katika hili ambalo wewe mwenye umekiri kwamba sio kweli, hiyo ndio chuki na wivu dhidi ya Tanzania, na wakunya wengi mpo na wivu Sana na chuki kwa Tanzania.Nyie ndio mlianza kusherehekea negatives za Kenya. Wewe kwanza ndio kiongozi wa kundi hilo. Sisi tunamalizia tu.
Hivi ni kiongozi gani wa Kunyaland ambaye alishawahi kuwa "recognized" nje ya Kenya?@MkapaLegacy inajilinda
Asanteni Sana Zimbabwe,in honour of Former president Mkapa
View attachment 2222639
View attachment 2222641
View attachment 2222643