Only in insane african countries a rail can be built to nowhere

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Only in insane african countries a rail can be built to nowhere

Huo ndio ukweli bwana tuusan, haihitaji elimu kuutambua ukweli huo, tafsiri ya maendeleo daima ni kinachoonekana sio zinachozungumzwa..Apa ndio umeongea kitu gani?ni aibu mtu kama wewe kuongea pumba kama hizi
I wonder where citizens of an LDC whose port has stalled for years get the confidence to comment about Lamu port.Tuoneshe Bagamoyo port ilipo.
Bado cement ya Dangote!Mzigo wote huu unapita Mtwara port bado mzigo wa Korosho na mizigo mingine pia Mtwara port output yake ni kubwa kuliko lamu.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Not yet constructed,may be ungeuliza Tanga na Mtwara ports..
Siku tukifungua Bagamoyo,hakuna meli za maana zitaenda Mombasa
Hivi hapo shida ni contractor au ni wasimamizi wa ujenzi? Embu tujadili hili maana matukio kama haya kwa jirani yanajirudia sana.
Kwanza kwa kipindi ichi ambacho kila mtu anajizawadia connection muhimu sana 😅😅Hahaha noma sana kiongozi..
Sio kinyonge ila lazima tuishi. Connection muhimu bablai..
Usiongee kwa mihemko. Hivi unajua Dar is a slum port inahandle nusu ya mizigo ambayo Mombasa port inahandle?Not yet constructed,may be ungeuliza Tanga na Mtwara ports..
Siku tukifungua Bagamoyo,hakuna meli za maana zitaenda Mombasa
Huu ni uongo mzee tuusan, siwezi uvumilia, Japan isn't even close to china as far as development is concernedJapani ni nchi tajiri kuzidi China kea kila kitu
Unaweza ukasema uswizi kumbe bongo
Kwahyo kwakua unaifuatilia China ndio Japan haijawah exist?fuatilia Japan ndio ujue China bado sanaHuo ndio ukweli bwana tuusan, haihitaji elimu kuutambua ukweli huo, tafsiri ya maendeleo daima ni kinachoonekana sio zinachozungumzwa..
Andaa facts zako twende ground bro, kama uko vizuriKwahyo kwakua unaifuatilia China ndio Japan haijawah exist?fuatilia Japan ndio ujue China bado sana
Unaweza ukasema uswizi kumbe bongo
Unadhani Rihanna anakuja kuperform. 🤣 🤣 🤣 🤣 Soja wewe ni fala, read to understand, don't read to reply.Haya mambo Tz ilifanya kitambo sana enzi hizo bongo fleva ndio inakuwa but kwa ss hatuna mpango nao, mapromota waliona wanapata hasara baada ya kugundua ukimuweka Rihanna taifa kwa kiingilio cha shilingi 5000 alafu ukamuweka Diamond Mlimani City kwa kiingilio cha 100,000 Rihanna hapati watu.
Nakuletea mikeka hapa tuone kati ya watu 125.8M wa Japan na watu billion 1.4 wa China nani wako smartAndaa facts zako twende ground bro, kama uko vizuri
Annual statistics for Lamu white elephant port is 11 ships, do you have anything to accrue?I wonder where citizens of an LDC whose port has stalled for years get the confidence to comment about Lamu port.
Mchina anajua fika kwamba jamaa hawana uelewa wa quality works ndiyo maana kawawekea majani kwenye flyover ambayo tayari yameshakaukaHivi hapo shida ni contractor au ni wasimamizi wa ujenzi? Embu tujadili hili maana matukio kama haya kwa jirani yanajirudia sana.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app





Whether she's coming to perform or whatever but we don't need them, we have our superstars who can do what she's intended to do in that failed state.Unadhani Rihanna anakuja kuperform.![]()
![]()
![]()
Soja wewe ni fala, read to understand, don't read to reply.
Tunaendelea kuwapiga kichapo cha punda. Mombasa port is very efficient.Usiongee kwa mihemko. Hivi unajua Dar is a slum port inahandle nusu ya mizigo ambayo Mombasa port inahandle?