Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The Kings of poverty
JamiiForums872335975.jpg
Screenshot_20220505-221229.jpg
Screenshot_20220505-221248.jpg
Screenshot_20220505-221237.jpg
Screenshot_20220505-221147.jpg
Screenshot_20220505-221119.jpg
 
Hata Lamu port mlibweka hivi! Saahii baada ya mwaka meli 11 tu zimekuja! Yaani hata Mtwara 4th largest seaport in Tanzania ina-handle 100 times more cargo! Yaani Kigoma lakeport inapitisha mzigo zaidi ya Lamu pOrt!
Meli zinaenda lamu haziwezi dock kwa hako kakitu unaita mtwara, tulia kichapo iingie, you know nothing about transshipment business.
 
Since 2016 bado munaota tu. unatuonyesha data ya 1 month.

Kenya pekee kwa hii region ndio inachezea the billion mark kwa the whole bloc.

Eti eehhh, haya mnazihudumia nchi zipi na mnahudumia nn? Maua au? Haya hizi hapa ni data za Tz vs Kenya, yani hapa ni pesa tu Tanzania inapata from Kenya pekee ambayo ni nusu ya Kenya inachopata EAC nzima je tukileta za EAC c mtakimbia? Kumbuka kwa ss tumeshawapora soko la Uganda.
Screenshot_20220511-094532.jpg
 
Dongo Kundu international airport View attachment 2220013
Hii JKIA airport unayoicheka ilihandle zaidi ya 8 million passengers in 2019 wakati JNIA mahali ambapo unafanya kazi inahandle chini ya 3 million passengers. Endelea kucheka cheka hovyo ni kama hujui JKIA inahandle zaidi ya mara dufu ya passengers ambao wanapitia JNIA.
 
Eti eehhh, haya mnazihudumia nchi zipi na mnahudumia nn? Maua au? Haya hizi hapa ni data za Tz vs Kenya, yani hapa ni pesa tu Tanzania inapata from Kenya pekee ambayo ni nusu ya Kenya inachopata EAC nzima je tukileta za EAC c mtakimbia? Kumbuka kwa ss tumeshawapora soko la Uganda.View attachment 2220023
Raw materials kwa wingi, tulifanya nazo value addition and resupplied to EAC at very big profit. Hamuwezi tufunza biashara, you can not teach your father how to f**k. 🤣 🤣 🤣
 
Kwenye hizi siku za mwezi zilizobaki, Bandari ya Dar Es Salaam inategemea kupokea Vehicles Carrier nne.
Kesho tarehe 11 kuna ORION LEADER.
Tarehe 15 zitaingia mbili kuna MORNING CINDY na VIKING AMBER.
Na tarehe 18 kuna ANDROMEDA SPIRIT.
Nadhani gari zingine zinaenda nchi za jirani,kuna nchi zitakua zimeacha kutumia bandari flan,yatakua maumivu makali sana kwa wakunya
 
Nadhani gari zinaenda nchi jirani,kuna nchi zitakua zimeacha kutumia bandari flan,yatakua maumivu makali sana kwa wakunya
Bandari ambayo imepoteza biashara ni bandari ya Durban ya South Afrika. Nchi nyingi za SADC zilikuwa zinapitisha magari yao huko. Mombasa port huwa inadeal sana sana na containerised cargo sio magari.
 
Back
Top Bottom