Ninacho kiona ni upofu ulio jiwekea kwa mapenzi , lkn Tz inagiza mafuta Uturuki, Arabians countriee, malaysia singapore, ukisema wamefungia mafuta nakushanga sabab sahii mafuta ya OKI yamejaa madukani...apo kadanganye wasio jua ...ninaka sidehustle nafanya ndio mana niko more informedNilimsikia Rais mwenyewe na Waziri wa kilimo wakisema mafuta pia yanatoka huko on top of Malaysia .
Hao Malaysia mnawasema wamezuia exportation ya mafuta yao pia.
Well je hayo ni matatizo ya serikali kujitakia? Nani hajui kwamba mwaka toka mwaka Jana na huu mvua zimesua saua na hivyo uzalishaji kuathirika?
Sie tulioko mikoani tunaolima tunaona,bei ya gunia la mpunga 80,000 ,bei ya gunia la mahindi 45,000 na huu ni msimu wa mavuno hizi Bei hazijawahi fikiwa..
LODWAR is a dessert for your info. Think twiceHii battle niliianzishaga mwenzako akakimbia
Angalia sasa the poorest region of Tanzania then compare na lodwar
View attachment 2216060
View attachment 2216061
View attachment 2216062
View attachment 2216063
View attachment 2216064
View attachment 2216065
View attachment 2216066
View attachment 2216067
Always play stupidy, mko na GDP 114b yet pops its your fevority food[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16], were exactly did you get that energy to argue against philosophy of our national father? Give the fact, the only thing your national founder left is betrayal against fellow nations[emoji706]Alichowaachia Nyerere ni ujamaa. A stupid philosophy that you have since dropped like a hot potato
Swali ni nini baba wao wa taifa ameifanyia kenya? Zaidi ya kuwapa ukabila, kuwaibia ardhi,kuwasaliti wafrika wenzao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]na kuwapa elimu ya kula mafiiii[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Stupid philosophy ndiyo inayowalisha na kuwatoa katika njaa ya kifo.
Stupid philosophy ndiyo inayojenga miradi ambayo kwenu ni ndoto na hamtokuwa nayo kwa miaka 200 ijayo.
Stupid philosophy ndiyo iliyoleta amani ambayo nyinyi hamtokuwa nayo mpk Yesu arudi.
Stupid philosophy ndiyo inayofanya Watz tuwe tuliostaarabika yani wise people unlike you.
Stupid philosophy ndiyo imefanya tuwe na inclusive economy.
Stupid philosophy ndiyo iliyofanya tuendelee kuwa na ardhi kubwa yenye mali nyingi ambazo zingine tumewapora wapumbavu kama nyie na bado tutakuja kuwapora maeneo mengine mfano Mombasa.
Stupid philosophy.........?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa mama Ngina ana umuhimu gani katika siasa za Kenya kwa Sasa?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Duh kwahio mtu asipojua Kiingereza, automatically hajui Kifaransa?!Kama Kiingereza chenyewe ndio hukijui sasa kifaransa utajuaje?
Kiingereza yako = Kiingereza chako.Afadhali mimi kiswahili changu kimeimprove thanks to jf. Wewe Kiingereza yako bado ni ya mwananyamala tu
Safi !! basi kuwa ivo!! kwa kuwa kwako hilo linawezekana! ..........nikisema chizi maarifa! utasema natukana kamwe huwezi dhihirisha hasira kwenye Bandiko Langu ni wewe umekuja kwa makasiriko!...japo unatuudhi wasomi!Acha makasiriko dada, kama mimi ni mjinga unaonaje wewe ukawa kichwa changu nipumzike kureason
Hayo ni mamindoto ya alinacha!! unafwanya maigizo! Lugha yako umeikulia na umeyiishi usiielewe? ndiyo mana nasema hujasoma kilaza weye! rudi drsani!...problem yenyu Mi-tz vilaza mnataka tuwongeye km nyie! haiwezekani!This world is full of clowns. A person is able to speak and write a foreign language almost fluently but cannot speak and write his or her own language fluently
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Yaani mumekwisha kuruka ruka tuuuu!! hap unaelewa bhizuri ila kujifwanyaaaa sana sana wakti TZ matu meeengi hamujuyi chiswahili,,km wasukuma .....utalia chiniHalafu wewe una exaggerate hiyo lugha unayoiandika humu sasa unaingiza lafudhi za kibaniani tena!
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
While in Tanzania registered private helicopters are less than 5.
mACHAWI zoote nyieNimemshtukia ana exaggerate maneno nimemshika kachanganya lafudhi ya kikenya na baniani humu kumbe mhuni tuu.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Richawi ringine hii hapa! sasa mie hapana jinsia siyo?Huyo co mkenya na wala co demu achana naye.
Huyu huwa anatibiwa Nairobi.
Riturutumbi tu!!!Achana naye.
You are a fool, kwani lazima tu anunue kwa mshahara wake?If our president owns a helicopter we will definitely take him or her to task ndio atueleze kwa mshahara wake amewezaje kununua helicopter sisi Watanzania sio watu wa kuchezewachezewa kirahisi na wanasiasa kama nyie.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Our founding father left us with the spirit of Harambee. That pulling resources together is the cornerstone of development. Harambee also taught us not to lazy around, not to expect everything from the government like you do down there. That nothing comes on a silver platter, you have to work your ass out for everything you have. That is what has driven our economy, the DGP you've quoted above, despite us being the least resource-endowed country in this region. Now you know bongolalaAlways play stupidy, mko na GDP 114b yet pops its your fevority food[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16], were exactly did you get that energy to argue against philosophy of our national father? Give the fact, the only thing your national founder left is betrayal against fellow nations[emoji706]